Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, January 31, 2012

UKUCHA JAMANI UUH!!!!! ZIMENOGAJE????

 HAPO CHACHA JIULIZE WANAJISAFISHAJE MMMH??
 O YA YA YA A
 MIE NA KUFA JUU YA HIZO UUUH I LOVE THE RANGI AND KILA KITU
 SAFIII

 HAPA NDIO ZIKIBADIKWA NA CICI M DADA WA KICHINA HAPANA CHEZEA YEYE
 UUUH INANIGA EEH

 HAPO KWENYE POOZ SASA
GLITERS MAMA

Tuesday, January 24, 2012

Out with Friends kona tofauti tofauti

 Jakie, ashimba, juce and moi
 moi and Jucy friends forever
 jijini A city nilikutana na Rafiki yangu wa siku nyingi sana tulipotezana kama miaka 7 iliopita nikakutana nae dah bahati mbaya camera ika wa ziiiii ila walau nina taswira yake thank you Neema
 juce and friend
 hapa ilikuwa Dar na marafiki from finland white Jucy , moi and ashimba from bagamoyo
 mzigoni ndani ya a city
 mwanamuziki Chimbende baada ya kufanya ae mahojiano sty tune on Mama land show ijayo
 Ray Ray take to and.............................
 my Big Producer Mudy Mapesa ha ha ha ha miaka 1000000000
hapa nilikuwa jijini arusha pichani Raymond Camera man akipiga pic za link za show yangu

Wednesday, January 18, 2012

MBUNGE WA CCM JEREMIA SUMARI WA JIMBO LA ARUMERU AFARIKI DUNIA "


TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mbunge wa Jimbo la Arumeru kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Jeremia Sumari amefariki dunia leo.

Mbunge huyo alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa kipindi kirefu na wakati anakutwa na mauti leo alfajiri alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.


Jeremia Sumari ni mbunge wa pili kwa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufariki kwa mwaka huu 2012 baada ya kutanguliwa na mbunge wa viti maalum Chadema, Regia Mtema.

MWENYEZI MUNGU AMALAZE MAHALI PEMA PEPONI
 AMIN.

JK AONGOZA MAMIA KATIKA MAZISHI YA REGIA MTEMA MJINI IFAKARA JANA


 Rais Kiwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Regia ambaye alikua Mbunge wa Viti maalum (CHADEMA)
 Rais Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu
Rais Kikwete na Spika wa Bunge Anna Makinda na baadhi ya viongozi wakiwa kwenye mazishi ya Regia

Tuesday, January 17, 2012

FERRE GOLA "AVANT GOUT" BOITE NOIR/ CLIP PORTE MONNAIE

2FACE IS EXPECTING A BABY N0.6



Linda Ikeji said that Tuface Idibia is expecting baby No.6 with one of his baby mama’s and mother of two of his children, US-based Pero Adeniyi.
Pero is due to give birth to the couple’s third child together in March. And I hear it’s going to be another boy.
The reason Pero’s third pregnancy for the hit maker was not known until now is because she’s been in the US for a while, so no one in Naija saw the protruding tommy…
His PR manager Bayo Omisore has confirmed the pregnancy. Big congrats to Tuface and Pero.

TANZANIA CONGO MUSIC – SAID COMORIEN

Monday, January 16, 2012

IJUMAA ILIKUWA KITCHEN PART YA DA HUU WA LEO TENA HONGERA MAMA



ijumaa mwishoni mwa wiki iliopita  ilikuwa kitchen part ya mfanyakazi mwenzetu Dah Huu ambapo tulijumuika kwa pamoja kumfunda na kumtakia safari njema ya hukooo aendako katika maisha mapya ya ndoa.
hapa pambana kuangalia pic na mishono ya mavazi wanakwambia mwanamke tenge babuuuuuu.