Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, February 29, 2012

VIDUME WANAO VUTIA WAREMBO WENGI DUNIANI.



Alizaiwa ma kupewa jina la
Leonardo Wilhelm DiCaprio

Akapewa AKA yake kama
Leo
Lenny D
Height ni  6' (1.83 m)

Leornad dicaprio mmoja wa wacheza Movie mahiri sana ambae kwa sasa anatikisa katika m\Movie ya Inception
MSHAHARA  ANAOLIPWA KATIKA MOVIE ALIZOWAHI KUCHEZA AU KUSHIRIKI..
J. Edgar (2011)$2,000,000
Inception (2010)$59,000,000 (includes salary and all back end points off worldwide gross + share of DVD and pay-TV revenue)
Blood Diamond (2006)$20,000,000
The Departed (2006)$20,000,000
The Aviator (2004)$20,000,000
Catch Me If You Can (2002)$20,000,000
Gangs of New York (2002)$10,000,000 + Gross Points
The Beach (2000/I)$20,000,000
Titanic (1997)$2,500,000
The Basketball Diaries (1995).

So sorry ladies leonardo kafunga pingu za maisha na mwna dada mrembo Kate Winslet Habari ndio hiyo.



DAVID BECKRHAM
alizaliwa 2 May 1975, huko Leytonstone,  London, Uingereza

Alipozaliwa tu akapewa jina na kuitwa David Robert Joseph Beckham

Nickname zake ni .
Dave
Becks
Golden Balls
DB7

Height ni 6' (1.83 m).
MSHAHARA WAKE $40,500,000 KWA mwaka David Beckham inamaanisha kuwa analiwa kiasi cha $3,375,000 kwa mwezi na  $843,750 kwa wiki $168,750.00 au kwa siku !


JAMAA PIA ANAMKE ha ha a ha halo raha sana anajulikana kwa jina la VICTORIA UPO .



NIGERIAN MOVIE STAR ..RAMSEY NOUAH
ALIZALIWA 16 July 1973 huko Edo, Nigeria) maarufu kama  Nollywood actor. NA KUBATIZWA JINA .. RAMSEY NOUAH
MSHAHARA  WAKE  haikuwwekwa wazi kua analipwa kiasi gani katika movie zote ambazo amecheza ingawa yadaiwa kuwa ni miongoni mwa vijawa wanaolipwa vizuri mmno katika movie huko Nigeria. .


Mwana kaka huyo tayari anamke ingawa picha za mkewe hazijaweka wazi mitandaoni .




Tyler Perry
Alizaliw ana kupewa jina la  Emmitt Perry Jr.
Height ni 6' 5" (1.96 m)

mshahara wake ya daiwa kuwa mnamo  May 2010 mpaka  May 2011 iikuwa ni $130 million. ambazo alikuwa akilipwa hali iliopeelekea kuwa yeye ndie mburudishaji na muigizaji anaelipwa  huko ulaya akikamata nafasi ya 6 miongoni mwa waigizaji na wachekeshaji bora wnao lipwa ishahara mikubwa duniani.


Tyler perry jamani anatambulika sana katika movie zake za MADEA  Family na ameowa tayari.

HAYA WADAU HAO NI WACHACE INGAWA NI WENGI SANA NITAREJEA KUONGEZA WENGINE LEO NIMEANZA NA WANAUME WAKATI MWINGINE TUTACHAMBUA NA WAKINA DADA KAZI KWENU NAANGALIA DUNIA NZIMA NAMBIE NA WEWE UNADHANI NANI PIA ANATIKISA NA KUVUTIA KAMA KICHW CHA HABARI KINAVYO SEMA NIANDIKIE MWENZANGU kessysophia@gmail.com  HIYO NDO EMAIL ADRESS YANGU KAZI NI KWAKO. USINAGALIE HATA HAPA NYUMBANI WAPO NAMBIE NIANDIKIE  NITAFUATILIA NA NITAIWEKA HAPA .BAADEA BASI MPENDWA .
$1,000,000

Tuesday, February 28, 2012

Sweden's Crown Princess Victoria apata Baby Girl


Sweden's Crown Princess Victoria had a baby girl last week, and today the royal family released the first photos of the little princess! Princess Victoria, 34, is the eldest child of King Carl XVI Gustaf and her new daughter, Estelle Silvia Ewa Mary, is second in line after her.

KUWA MAKINI NA UJUMBE HUU UTALIZWA VIBAYA MATAPELI KIBAO KILA KUKICHA


UJUMBE KAMA HUU WA MTU USIE MFAHAMU USIUTILIE MAANANI WENGI WAMETAPELIWA KWA KUDANGANYWA KUPENDWA NA KUINGIA KATIKA MAHUSIANO NA WATU WASIO WAFAHAMU KATIKA MITANDAO.


Hello
my dear, i am well pleased to contact you on my search for relationship. To me age, distance, race and color do not matter, rather what i value most is the understanding and love that will exist between us. So in a special manner i will like to further communication with you for us to know each other well, if you share the same view with me you can reach me through my personal email address try to tell me more about you, in reply i will tell you more about my self with my picture .I am looking forward to read
from you.Yours new friend
Stephanie.


BINTI MWENZANGU UKIJISHAUWA MJUAJI MJINI UKAJIONA UNA BAHI WEWE YA KUPENDWA WEWE  MJINI SHULE HAPA UTALIZWA SHAURI LO.

NAMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO

dunia ni yako chaguo ni lako chagua kuwa mwenye FURAHA epuka ku NUNA NUNA KUSIKOKUWA NA MAANA hata kama una yanayo kukera furahi thats life take it or live it to mimi.







i feel Goooooooooood tala tala la la la la la Hureeeeeeee i love this Monday naona kazi zangu zitaenda poa sana leo thank you JESUS




Tuesday, February 21, 2012

WAGOMBANAO NDIO WAPATANAO UNAMASWALI????!!!! HERI YA WAPATNISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU



Hatimaye   Ruge mutahaba na mh Joseph mbilinyi(sugu) wamaliza tofauti zao  baada ya kufanyika kwa vikao mbali mbali chini ya waziri wa habari ,chimbi na mbunge Tundu lisu

HERI YA WAPATNISHI MAANA HAO WATAITWA WANA WA MUNGU



HAYA HABARI NDIO HIYO WENYE MIDOMOJUU KIMYAAAAAAAAAAAA PICHA KWA HISANI YA ANJELA MSANGI.

Whitney Houston alimpenda Yesu ! na Picha za Maziko yake




iliripotiwa mara nyingi kuwa mwanamuziki Whitney Houston alikuwa kiwaambia marafiki zake wa karibu kuwa ( muda umefika wa kuongea na kumuona Yesu) alikuwa akiyasema hayo mara nyingi na muda mchache kabla ya mauti kumkuta
marafiki zake wakaribu walisema alibadilika nakuonekana mtu mwenye imani kubwa ambapo aliweza kunukuu pia vipengele mbali mbali vya biblia na kuvisema kwa marafiki ikionyesha wazi sikuzake za mwisho zimewadia


ijumaa iliopita siku moja kabla haijagunduliwa kuwa amekufa ndani ya maji bafuni kwakwe huko  Los Angeles kwenye hoteli  aliofikia yadaiwa kuwa alimuambia mmoja wa rafikizake kuwa "I'm gonna go see Jesus. I want to see Jesus," limeriport gazeti la the sun.
na ilipofika jumamosi akawa mpole sana na kila wakati akisema  I really want to see that Jesus." akimaanisha nataka sana kumuona Yesu.


Whitney, ambae alikuwa akipambana kwa muda mrefu katika kuacha utumiaji wa dawa za kulevya  ambazo zilisha muathiri kwa kiasi kikubwa imedaiwa kuwa  mahojiano yake ya mwisho kufanya alisema kuwa yuko ,comfortable na maisha yake.
Miaka  48-ya  soul legend huyo alidai amejipanga vyema kusimama na kumuangalia kwa makini na kukumuza mwanae wakike ajulikanae kw ajina la Bobbi Kristina. (kwa bahati mabya mauti yaka mkuta na hapa ni wakati wa maziko yake.


inahuzunisha mno .... kwa Bobbi Kristina, kwa kumpoteza mama na kwa boby pia kwa kumpoteza mke alietaka kubadilika na kuwa Mama mwema.
apumzike kwa amani .

Monday, February 20, 2012

INANIKERAAAAAAAAAAAA

sorry friends but i have to say this............huwa inanikera sana sana tu  mtu anapoingia kwenye mitandao hii ya kijamii kama facebook au tweeter, then ni rafiki yako kabisa katika friends list yako anaingia wakati mna chart anakuuliza we nani uko wapi unafanya wapi kazi uko nchi gani??? ah ah aaaaaaahhhhhhhhgr wakati kwenye profile kuna information zote oooh... si usome maelezo how can you be friend with some one halafu husomi profile yake ukaepuka maswali ya kijinga au yasio na maana kama hao jamani.

ni vizuri kuchart lakini maswali mengine basi yawe ya msingi sio unaitwa nani unakaa wapi wakati profile zinaonyesha wazi aaah plz inanikera samna mie sijui wenzangu labda nyie mwaenjoy. ni mtizamo wangu tu.

Mechi ya Yanga V/S Zamaleki ilinoga sana

 mie na shosti mama ya 3leee DDDDDD aha ha ha Claraaa hapana chezea yeye
 bi dada tulipowasili lango kuu ya uwanja wa taifa
 yanga nyanga nyanga nyanga nyana ndivyo ilivyokuwa uwanjani

 uwanjani Iren uwoya na mumewe ndikumana nao walikuwepo uwanjani
 shoati wa primetime promotion akishangilia goli la yanga
 hapa kandanda likisukumwa.
 wera yanga hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
hivi ndivyo ilivyokuwa uwanja wa taifa baada ya mie na mashost na marafikisto kutinga kwenda kusuport timu ambayo naipenda sana ya Dar es saalam young africans katika mechi waliokuwa wakicheza siku ya jumamosi hakika ilikuw ani burudani asante sana wana yanga kwa kujitahidi na hatimae kutoka sare dhidi ya Zamalek ya Misri.

Friday, February 17, 2012

Koffi Olomide ashtakiwa nchini Ufaransa.



Mwanamuziki Koffi Olomide amefikishwa mahakamani kwa mara nyingine kwa makosa matatu yakiwemo udhalilishaji na kuwabaka wanamuziki wake wa kike.
Akiongea na shirika la utangazaji la AFP wakili wa Koffi Bw. Manuel Aeschlimann, Aidha habari zinasema kuwa Olomide alijipeleka mwenyewe kwa Judge siku ya jumatatu huko Nanterre ambako mashtaka hayo yamefunguliwa.
Habari zinasema kuwa Olomide aliondoka kurejea Kongo bila kusubiria hukumu yake kutokana na makosa yaliyotajwa. Pia wakili huyo alisema kuwa Olomide hana la kujibu kwa kuwa wanamuziki hao mashtaka yao hayana ukweli wala ushahidi ndani yake, kisha akaongeza kuwa wanamuziki hao walitaka kupata vibali vya kuishu nchini Ufaransa kwa kumchafulia mteja wake.

kwahisani ya spoti na starehe

Thursday, February 9, 2012

WENZETU WANAVYO THAMINI WANYAMA CHEKI HII UTASTAAJABU

Picha hizi nilipewa na rafiki yangu wa huku Majuu ambae Mbwa wake alikuwa na ujauzito kishaa akaugua hali ambayo ilikuwa imehatarisha maisha ya watoto aliokuwa kawabeba tumboni basi bwana kwa kuwa wenzetu wanathamini sana wanyama wakaona ni vyema kuokoa maisha ya watoto hao kwa kuwa mama Mbwa mwenyewe alikuwa katika hali mbaya sana na haikuweza kujulikana kama atapona au la basi inasemekana wakampeleka mbwa wao katika Hospitali ya wanyama husika akafanyiwa upasuaji na kuzalishwa watoto hao wa mbwa unao waona pichani chini  baadae walipata matunzo mazuri kama uonavyo katika picha wakiwa na afya njema mpaka sasa wanadunda na wanatamaniwa na kila mtu huko makwao. Mweeeeee ingekuwa bongo??? najiuliza tu Labda mbwa angekufa na wanae hao pia wangekufa.


dactari wa wanyama akiokoa maisha ya watoto wa mbwa mgonjwa.
 watoto wa mbwa wakiwa tayari wamezalishwa kaba siku hazijatimia ambapo mama yao alikuw amgonjwa na mwenye hali mbaya sana.

Baada ya upasuaji huo nadahani umeona watoto hao na sasa picha zifuatazo ni za watoto hao walivyo sasa wamekuwa hatari duh
mtoto wa Rafiki Yangu akiwa Amelala na Mbwa hao baada ya kukua
 Hao hapo sasa wanavyopendeza
 huyu nae katia pozi wazungu dah  wana mambo
anatamani Chai duh


 wakiwa wame lala vizuri na kwa furaha pasipo mapenzi ya mama yao



 anawaza nini huyu??

Habari ndio hiyo jamani Mie Hoi.

Wednesday, February 8, 2012

Ngoma Africa Band aka FFU,wavamiwa katika Facebook

leo   mapema bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa band au maarufu kama FFU, walivamiwa na maharamia katika chanzo cha kimoja cha www.facebook.com/ngomaafrica ambako msela mmoja asiyejulikana alikichafua chanzo hicho kwa kumwaga picha za video chafu,kiasi cha kusababisha. Usumbufu,fujo hizo za kutundikwa picha chafu katika chanzo cha FFU,zilishindwa kutulizwa na Ngoma Africa wenyewe,kiasi kwamba kamanda wa bendi hiyo Ras Makunja akiwa anahangaika na rungu mokononi ,lakini baadaye walipata msaada kutoka kwa mtalaam moja wa mambo ya IT ajulikanae kwa jina la Mfundo aka Boss, kamanda Ras Makunja na mnyama wake mkali(pichani) alishindwa kuliziwia ghasia lililo ikumba bendi www.facebook.com/ngomaafrica Kumekuwa na baadhi ya wadau wenye uchokozi wanapoona kikosi hicho cha Ngoma Africa band aka FFU kimetulia basi lazima watawatafutia shughuli ya kufanya! kwa kipindi hiki cha msimu wa baridi Kule ughaibuni kikosi kazi hicho kimejichimbia ndani ya kambi na kupiga kwata juu ya barafu. Wakati Ngoma Africa band wanachua chua maumivu ya pilika pilika za kuvamiwa,wadau tusikose kujipa burudani kamili bofya hapa: www.ngoma-africa.comau http://www.ngoma-africa.com

Tuesday, February 7, 2012

BARNABA KWENDA UFARANSA KUREKODI 'TUACHANE KWA WEMA' NA FALLY IPUPA

Mwanamuziki Banarba wa THT.
Na www.sufianimafoto.blogspot.com
MSANII mahiri katika miondoko ya muziki wa Bongo Flava Barnara, anataraia kuondoka nchini Machi 28, mwaka huu kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya kurekodi kibao chake kipya kiitwacho 'Tuachane kwa Wema, ambacho atamshirikisha mwanamuziki nyota wa muziki wa Dansi Fally Ipupa. Akizungumza na mtandao huu wa www.sufianimafoto.blogspot.com, Barnaba, alisema kuwa maandalizi yote ya safari hiyo tayari yamekamilika na tayari amekwishapewa 'Apointment' na moja ya Studio za nchini humo tarehe ya kufika na kurekodi wimbo wake huo. Aidha Barnaba alisema kuwa wimbo huo utakuwa ni miongoni mwa nyimbo zake zitakazokuwamo katika albam yake mpya itakayokuwa na jumla ya nyimbo 10, ambayo inatarajia kukamilika mwezi wa sita mwaka huu. ''Unajua katika ndoto zangu za kimuziki nimekuwa na ndoto siku nyingi ya kurekodi na mastaa wa ukweli Duniani, na Fally ni mwanzo tu kwani wapo wengine ambao tayari nimeshawasiliana nao pande za mamtoni ambao tayarikama watatu wamekwisha nithitishia kunipa 'shavu' katika miongoni mwa nyimbo zangu kadhaa ambazo nyingine zitakuwa ni katika albam yangu ijayo baadaya hii. Hata Fally pia alikuwa akitamani kurekodi na mimi tangu nilipo mpagawisha katika moja ya shoo yake alipokuja nchini na kuipenda sauti yangu, kwa hiyo naye nipi ni nafasi yake pekee aliyokuwa akiitamani ambayo amefanikiwa'' alisema Barnaba Barnaba alisema kuwa mbali na wimbo huo lakini pia anatarajia kurekodi video ya wimbo huo, awapo nchini humo iwapo atafanikiwa kumaliza ndani ya muda uliopangwa na mwandaaji wake. Alizitaja baadhi ya nyimbo zitakazokuwa katika albam hiyo kuwa ni pamoja na Gubegube, Sidhani Kama na Roho si Moyo, ambazo zote tayari zimekwisharekodiwa katika Studio za THT.