Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, June 29, 2015

SIONGEZI WALA SIPUNGUZI ILA UKWELI NI KWAMBA BET WANAPASWA KULIANGALIA HILI KWA UMAKINI ZAIDI

BET Awards 

 Kwa kipindi cha miaka kadhaa BET Awards imekuw aikitoa tunzo kwa wanamuziki wa afrika  mapema tena backstage au wakati mwingine muda mfupi kabla ya show kuanza.
mwaka huu kijana wa Ghana , ambae ni wa miondoko ya  dancehall ajulikanae kwa jina la Stonebwoy alishinda tunzo ya‘Best International Act Africa’ award na watu kadhaa wakawa wameongea kuhusu ukweli wa BET kutowathamini wanamuziki na kazi zao kwa kile kinachodaiwa kuwapa tunzo wakiwa backstage au kabla ya tamasha husika  kuanza.
Stonebwoy alikuwa amechaguliwa pamoja na Sarkodie, wa South Africa AKA na The Soil, mwanamuziki wa kongo  Fally Ipupa, kundi kutoka nchni Kenya la Afro-Pop band maarufu kama Sauti Sol, wanamuziki wawili wa nigerian, Wizkid na Yemi Alade.
Dencia na Fuse ODG akaelezea hisia zake kwanini hakwenda kwenye  BET’s kupitia mitandao ya kijamii kama inavyosomeka hapo chini.

Fuse ODG wrote:

Untitled
Dencia shared her thoughts on Instagram and stated that instead of people focusing on her outfit (click here if you missed it) they should focus on this.
Dencia
hakuishia hapo akaongeza While u were worried about my outfit?your faves were waiting to give a speech in front of empty chairs with pictures at an award show made for black people.I wish y’all will be telling BET to fix that.Two years ago i spoke about that I was called a hater..FYI awards don’t come with money & awards don’t mean anyone is better than anyone (After all I have seen amazing artists get beat by not so good artists) so while u worried about me getting an award I am worried about where I’m gonna drive my Rolls Royce wraith to but for those of you who care I think African artists should be treated equally (like the American artists) how are you bringing cultures together if u aren’t putting them together officially? If the Oscars did the same thing all I’ll hear is racism..now take ur remaining data and help ur brethren (when they show u the awards in Africa it is edited to look like it was given in front of everyone)
 PALE INAPOWAFIKA WATU HAPA NIMEKUWA NIKIANGALIA HILI KWA KINA SANA ILA KUNA UKWELI MMNO KWELI HAIWEZEKANI MTU ASHINDE APEWE TUNZO PEKEYAKE NI BORA WASIPEWE KABISA AU IFANYIKE NAMNA YA KUWASHIRIKISHA WOOTE NA WANAMUZIKI NA CELEBRITY WOTE NA TUNZO ZITOLEWE KWA WAKATI MMOJA SIO KUWATENGA I HOPE UJUMBE UTAWAFIKIA WALENGEWA 

TUJIKUMBUSHE MATUKIO YA MATANO MAZURI NA MABAYA YA BET AWARDS 2015 KAMA HUKUSHUHUDIA

tukio la kufurahisha ni hili la: kundi la zamani likijulikana kama Bad Boy au, Bad Boy Entertainment, wakiadhimisha miaka 20th year.

Sean “Diddy” Combs, maarufu kama “Puffy,” akiperfom na stars, wazamani na wasasa , akiwemo mwanamuziki Mase, Lil Kim, Faith Evans, 112, The Lox’s Jadakiss na Styles P.  ambapo walipiga  takribani ’90s ikiwemo ile ya , “Peaches and Cream,” “All About the Benjamins,” na “Love Like This” .
Tukio baya ni hili la : Diddy kuanguka kuteleza na kuanguka wakati wa performance.

TUKUO ZURI JINGINE NI : Smokey Robinson akubalikuipokea tunzo yake baada ya maombi na ushauri.
TUKIO BAYA  TENA LA : Rapper Nicki Minaj baada ya kushinda mara nyingi akajikuta anasahau jina la award talioshinda. tukimnukuu hapa
“What was this award for?” Minaj asked. When told it was the Viewers’ Choice Award, she recovered nicely and delivered encouragement to young people to follow their dreams.
TUKIO ZURI : Empire’s” Jussie Smollett aliongeza speech a mbapo alishukuru  Supreme Court kwa maamuzi waliofikia ya haki za ndoa. tumnukuu “No one is free until we are all free,”.

TUKIO BAYA  TENA LA: For whatever reason, BET continues to have a miniature conveyor belt for presenters to use before announcing awards.
The airport staple seems like no place for the stage considering the number of female presenters who had a hard time finding their footing.

TUKIO ZURI: “Black-ish” co-hosts, Ross and Anderson, took a go at being another TV couple.

TUKIO BAYA: Rihanna’s sneak peak of “B—h Better Have My Money” video was ruined for awards show guests.

TUKIO ZURI : Nicki Minaj  amtambulisha mama yake wa mara ya kwanza.

Tuesday, June 23, 2015

KAA WATANDA KATIKA UFUO WA CARLIFORNIA

Kaa wamevamia ufuo wa bahari wa California na kutengeza zulia la sentimita 40 kwa ukubwa.

Wanasayansi wanasema kuwa hatua hiyo imesababishwa na kupanda kwa viwango vya joto .

MAKUBWA HAYA ..... SHEREHE ZA ULAJI NYAMA YA MBWA CHINA

Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China imeanza huku kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama. Takriban mbwa 10,000 watachinjwa na nyama yao kuliwa katika sherehe hizo zitakazofanyika katika eneo la Yulin mkoa wa Guangxi siku ya jumapili na jumatatu ili kuadhimisha kuanza kwa msimu wa joto kulingana na vyombo vya habari vya kitaifa.

Monday, June 22, 2015

KLABU YA LIVERPOOL MBIONI KUMSAJILI FERNANDO LlORENTE WA JUVENTUS

Taarifa za usajili zinasema kuwa klabu ya Liverpool ipo katika mbio za kupata saini za washambuliaji wawili Fernando Llorente wa Juventus na Carlos Bacca wa klabu ya Sevilla.

Manchester United wanakaribia kumsajili kiungo wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani Bastian Schweinsteiger kwa ada ya euro milioni 7.

Klabu za Chelsea na Manchester City zipo katika ushindani  wa kumuwania kiungo wa Barcelona Alex Song.

MICHUANO YA COPA AMERIKA YAZIDI KUSHIKA KASI NCHINI CHILE

Michuano ya Copa Amerika imezidi kushika kasi nchini Chile ambapo Katika michezo ya jana usiku mshambuliaji wa timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi alisheherekea vyema kucheza mchezo wa mia moja akiwa na timu ya taifa ya Argentina kwa ushindi wa goli moja kwa sifuri dhidi ya Jamaica.

Gonzalo Higuain ndiye shujaa wa Argentina hapo jana kwa kufunga goli pekee na kuifanya Argentina kufuzu hatua ya robo fainali ya michuano hiyo.

Wakati huohuo timu za Paraguay na Uruguay nazo zimefuzu hatua ya robo fainali baada ya kutoka sare ya goli moja kwa moja.

YOGA DAY- JE UNAFAHAMU FAIDA ZA YOGA NA YOGA YENYEWE SOMA ZAIDI HAPA

Watu wengi leo hufikiria sana jinsi wanavyoweza kuwa na mwili mwembamba na afya nzuri, Jambo hilo limefanya wengi watafute msaada katika klabu za mazoezi ya viungo vya mwili na pia za kuboresha afya.
 Kwa sababu hiyo hiyo, maelfu ya watu kutoka nchi za Magharibi wamegeukia yoga mfumo wa mazoezi ulioanzishwa miaka zaidi ya mia 5 iliyopita katika nchi za Mashariki huku chimbuko lake likiwa nchini India.

Yoga ni mfumo wa mazoezi ya maungo na kudhibiti pumzi,  Watu wanaokabiliana na msongo wa mawazo, mshtuko wa moyo, na mfadhaiko pia wamegeukia yoga ili kupata faraja na utatuzi wa matatizo yao. 

Kutafakari kama kule kunakofanywa na Dini ya Uhindu ambako kulitokana na yoga, kumependwa sana kwa sababu wacheza-sinema na wanamuziki wa roki wanapenda aina hiyo ya yoga.

Godfrey Malik  ni mstaafu ambaye alianza kufanya mazoezi ya yoga zaidi ya miaka 15 iliyopita hapa anakiri kupata unafuu wa maisha tangu aanze mazoezi hayo.

Inadaiwa kwamba mazoezi ya yoga ni tiba ya magonjwa mbali mbali yasiyoambukizwa, na kumekuwepo na unafuu mkubwa kwa watu wanaotumia aina hiyo ya mazoezi huku nchini watu wengi zaidi wameitokeza kushiriki na kujifunza aina hiyo ya mazoezi kama anavyoeleza balozi mdogo wa india nchini.

Ili utamaduni huo uwezi kuingia katika jamii yetu ya kitanzania, kuna umuhimu wa kuwashirikisha wanafunzi katika mazoezi hayo ili waweze kujifunza wakiwa watoto, kama wahenga walivyowahi kusema, “samaki mkunje angali mbishi”.
 
Je, kuna ukweli wowote kuhusu mazoezi hayo ya yoga kuchangia katika kudhibiti au kuponya magonjwa mbali mbali ya binadamu?,  tumekutana na daktari Rajni Kanabar ambaye anaeleza kwa kifupi faida za mazoezi ya yoga.

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kwamba Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeamua kuadhimisha siku ya kimataifa ya yoga, Juni 21, kwani ni aina ya mazoezi au masomo ambayo maadili yake ni sambamba na yale ya Umoja wa Mataifa.

Katika taarifa iliyotolewa na msemaji wake, Ki-moon amenukuliwa akisema kwamba mazoezi hayo yanayochezwa tangu enzi za kale yana manufaa kwa afya ya mwili na akili ya binadamu.