mgongwe huyo Alain Mpela Afande muimbaji wa zamani mmoja wa wanahisa wa kundi la muziki la Wenge BCBG ambae kwa sasa pia ni kiongozi wa bendi ya orchestra "Generation A" ameendelea kufanya vizuri huku akiwaomba washabiki wake kuendelea kumpa moyo ili aweze kurejesha taswira yake na kuendelea kufanya vizuri katika taaluma yake.
African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, April 30, 2013
ALEIN MPELA BADO ANATIKISA ANGA LA MUZIKI AOMBA SUPORT ZAIDI YA MASHABIKI.
mgongwe huyo Alain Mpela Afande muimbaji wa zamani mmoja wa wanahisa wa kundi la muziki la Wenge BCBG ambae kwa sasa pia ni kiongozi wa bendi ya orchestra "Generation A" ameendelea kufanya vizuri huku akiwaomba washabiki wake kuendelea kumpa moyo ili aweze kurejesha taswira yake na kuendelea kufanya vizuri katika taaluma yake.
American Music Group Salt-N-Pepa Arrive Lagos for the “Divas Rock Concert”
By Onos O
Almost all American superstars are making sure that Nigeria is a country that they visit, for whatever reason. Recently, Maxwell, George Benson, Kim Kardashian, Rick Ross and New Edition, just to name a few in recent times, have been there. And now, legendary American Hip-Hop group, Salt-N-Pepaare one of them.
After much anticipation, the Hip-Hop divas, Cheryl James and Sandy Denton (“Salt” and “Pepa” respectively) who are headlining the “Divas Rock Concert” arrived Lagos at Muritala Mohammed Airport yesterday evening, April 28, 2013.
The “Divas Rock Concert” is scheduled for May 1, 2013 at 10 Degrees Event Centre, Oregun, Ikeja, Lagos. Other artists billed to take the stage with the first ever female rap crew are Sasha P, Weird MC, Eva andMs. Jaie.
Check out some photos from their arrival.
Photo Credit: Juyin Odeleye | Songkicksouce african Hit.
NAOMBA RADHI KWA WADAU WANGU KWA KUWA KIMYA KWA MUDA
NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWAOMBA RADHI WADAU WANGU WA BLOG HII KWA KUSHIDWA KUWAPA BURUDANI KWA KIPINDI KIREFU KUTOKANA NA KUWA BUSSY NA MITIHASA PAMOJA NA MASOMO KWA UJUMLA ILA NAPENDA KUWAMBIA SASA , KU WAHABARISHA JAPO BADO MASOMO YANANIBANA SANA NA KAZI WALAU NAAHIDI KWA WIKI NITAKUWA NA POST HABARI 3 AU MBILI NA HILI NI OMBI AMBALO NIMELIPOKEA KUTOKA KWA WADAU WA MUZIKI WAKITAKA NISIWASAHAU JAPO KWA SASA HAWAIPATI BAMBATAA BASI WALAU NIWE NAWADONDOSHEA NINI KIMEJIRI KATIKA ULIMWENGU WA MUZIKI HAPA AFRIKA.
ASANTE KWA KUCHUKUA WASAA WAKO KUSOMA NA KUNIELEWA UENDELEE KUWA PAMOJA.
Subscribe to:
Posts (Atom)