Sophia Kessy ..Vitu Adim! la reine de la musique afrique

African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!

Sunday, March 15, 2015

Maadhimisho ya 27 ya Wiki ya Maji Kitaifa

›
Wizara ya Maji yaadhimisha Maonesho ya 27 ya Wiki ya Maji Kitaifa yatakayofanyika kuanzia tarehe 16-22 March, 2015 katika Viwanja vya M...

TUBURUDIKE NA WIMBO WA LOKUA KANZA AKIWA NA FALLY IPUPA

›
Miongoni mwa wanamuziki wanao heshimika na kupendwa sana barani Afrika Lokua Kanza akimshirikisha Fally Ipupa katika wimbo huu hebu tazam...

SHABIKI NAMBA MOJA WA KOFII OLOMIDE MWANAMAMA KISI NDJORA WAKATI ALIPOACHIWA HURU.

›
Hatimae KISI NDJORA yuu huru baada yakupewa msaada kutoka kwa mawakili wa koffi olomide. JB MPIANA ndie aliekua wakwanza kumfungulia...

ASANTE KWA MIAKA 10 YA UTUMISHI # AMBULANCE ALIYOITOA MBUNGE ZITTO KABWE MARCH 14 JIMBONI KWAKE.

›
Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe leo March 14 ametoa gari mpya ya kubebea wagonjwa (Ambulance)kama moja ya ahadi zake alip...
Thursday, March 12, 2015

WATOTO, VIJANA, WATU WAZIMA NA HATA WAZEE WAKO HATARINI KUKUMBWA NA TATIZO LA FIGO

›
Ni wakati wa jioni wanaonekana Vijana zaidi ya Watano wakisikiliza Redio, mara linasikika tangazo linalohamasisha upimaji wa afya zao,...

TAASISI YA LISHE TANZANIA YASHITUSHWA NA UDUMAVU MKUBWA WA WATOTO SIMIYU

›
Taasisi ya lishe tanzania imeshitushwa  na asilimia 42 za  takwimu za udumavu  kwa watoto walio chini ya miaka mitano na hivyo ni s...
Wednesday, January 28, 2015

WANAFUNZI ZAIDI YA 200 WATUMIA DARASA MOJA WENGINE WASOMA CHINI YA MITI ILIYOKO KARIBU NA SHULE HIYO.

›
Hali ya Shule ya msingi SAKU iliyoko Manispaa ya Temeke Jijini Dar es salaam si ya kuridhisha baada ya kukabiliwa na uhaba wa miundomb...
Monday, January 26, 2015

ZIARA YA WAZIRI MKUU WA TAZNANIA MIZENGO PINDA NCHINI DUBAI 2014

›
Waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda alifanya ziara mwishoni mwa mwaka jana katika Nchi za falme za kiarabu (DUBAI) lengo ikiwa ni kutangaz...
Sunday, January 25, 2015

HAWA VIJANA NI HATARI SANA DAH SIJUI NI SEMEJE ILA WENYE BENDI MJIPANGE Yamoto Band ~ Nitakupwelepweta [Official Video]

›
HAYA kichupa kipya kabisa cha ya moto bendi wanakuambia mimi sio saizi yako Nitakupwelepweta bure haya ujumbe na burudani vimetulia sana...
Thursday, January 22, 2015

MISS TANZANIA (2001) HAPPYNES MAGESE ACHEZA KAMA VIDEO QEEN KWENYE VIDEO YA BANKY WA NAIJA

›
Banky W - LowKey angalia jinsi mrembo wa Tanzania Happy ness magese alivyocheza kama video qeen enjoy the video.

THE PLACE TO BE ZANZIBAR PALUMBO HOTEL

›
The place to be Zanzibar ‪#‎ Hotel‬ inaitwa PALUMBO ni jina la Kiitaliano...hotel ipo Zanzibar mkoa wa kusini Unguja kwenye ufukwe wa Ur...
Wednesday, January 21, 2015

YAPATE YA MKANDA UNAOJIFUNGA WENYEWE KIUNONI MAMBO YA TEKNOLOJIA HAYO

›
Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio mambo yanavyozidi kubadilika hasa kwenye idara ya teknolojia mambo yamekuwa mambo kila sik...
‹
›
Home
View web version

About Me

Unknown
View my complete profile
Powered by Blogger.