African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Tunapatikana Sinza kwa Remmy
Wednesday, April 4, 2012
Tuesday, April 3, 2012
Wenge el Paris live!
Unamkumbuka Marie Paul “Le Roi Soleil”???? Huyu hapa anaendeleza libeneke na Wenge El Paris yake….kwa wanaoijua vizuri historia ya wenge musica jina Marie Paul halitakuwa geni kwao,huyu ni mmoja kati ya waanzilishi wa wenge musica original kabla hata Jb Mpiana hajajiunga na wenge,walikuwa yeye werrason,didier masela….na wengine,Jb alikuja baadae japo ujio wake ndio ulioitoa wenge mafichoni na kuipatia utambulisho rasmi congo nzima na africa kwa ujumla kufuatia nyimbo zake mbili Mulolo na Kin e bouge ambao uliipatia wenge tuzo ya kwanza ya muziki ndani ya congo na kuwapatia changamoto kubwa zaiko langalanga ambao kabla yaujio huu wa wenge na nyimbo hizo walionekana kama hawana mpinzani ndani ya Kinshasa,wenge ikaja kivingine na kufuta utawala huo wa zaiko wa muda mrefu kwenye muziki wa congo.
Marie Paul na wenzake kina Aime Buanga ndio walikua watu wa mwanzo kujiondoa wenge na kuasisi hii wenge el paris ambapo baadae kina Aime Buanga wakajitoa tena ndani ya wenge el paris na kumuachia jahazi Marie Paul ambae anaendeleza libeneke kama nilivyosema hapo juu kama kawa japo amekua hasikiki sana na wenge yake kama wenge mbili maarufu,ya mpiana na werrason ambazo ndio zinafanya vizuri na ziko juu,lakini El Paris hawavumi tu ila wamo!
Jide akiwa na Lauryn Hill
Mwanamuziki
Judith Wambura aka Jide akiwa amepozi na mwanamuziki Lauryn Hill huko Cape Town Africa ya Kusini alipokuwa katika shughuli zake binafsi za kikazi. Jide kwa sasa yuko jijini ambapo moja ya kazi alizofanya baada ya kurejea ni kuzindua albamu yake ya 5 The Best of Lady Jay Dee. Jide alimsifia mwanamuziki huyo nguli kwa kusema maneno matatu tu ambayo yana maana kuwa “…she is natural, beautifull, and so amazing” Alimalizia Jide kupitia mtandao wake wa Facebook.
KUTOKA KWA KAKA PIUS WA SPOTI STAREHE
KAULI YA WEMA SEPETU KUHUSU DIAMOND KUKATAA KUPOKEA HELA ZAKE DIAMONDS ARE FOREVER
0
Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu leo amepata nafasi ya kuzungumza Exclusive na XXL ya CLOUDS FM na kuzungumza kuhusu mambo kadhaa ikiwemo ishu ya juzi kwenye show ya DIAMONDS ARE FOREVER Mlimani City Dar es salaam. Kwa kuanza Wema Sepetu amekanusha stori kwamba alikwenda nyumbani kwa kina Diamond ili amchukue waondoke pamoja kwenda Mlimani City, inadaiwa Diamond aliikataa hicho kitu kwa sababu hakutaka kujihusisha na Wema kwa vyovyote vile kwa kuwa wao sio wapenzi tena na hawajawa na ukaribu kwa kipindi kirefu. Sentensi nyingine ya Wema kukanusha hizo stori ni pamoja na kukiri kwamba hapafahamu nyumbani anapoishi Diamond kwa sasa, nyumba aliyokua anaifaham ni sehemu waliyokua wanaishi wote tu. Muda mfupi baada ya Wema kuyatoa hayo maneno, Diamond alipiga simu Live na kuthibitisha kwamba ni kweli Wema alimfata nyumbani kwao siku ya show ili waende wote, hakupenda na alijiepusha kutofanya chochote ili show yake isiharibike siku hiyo, alipotoka nje akaambiwa Wema ameshaondoka. Kuhusu ishu ya Diamond kukataa kupokea pesa ya Wema, Wema amesema “ule ni ushamba, alichofanya ni uswahili, mimi nitazidi kuwa shabiki wa Diamond, nitazidi kuwa shabiki wake na kumsupport lakini abadili tabia yake, alichofanya ni uswahili… sisi sio maadui kuna leo na kesho, nilipompelekea ile hela ni kwa sababu Naupenda sana wimbo wa mawazo sana aliokua anauperform kwa wakati huo, ndio maana alipoupiga niliamka na kwenda kumpa pesa” Alipoulizwa kama bado ana hisia za kimapenzi kwa Diamond, Wema amesema kwa sasa hana hisia zozote kwa Diamond na hayuko tayari hata kuanza ukurasa mpya wa kimapenzi na yeye. kwa kumalizia Wema amekanusha kauli ya Diamond aliyoitoa kwamba Wema anajitafutia umaarufu kupitia jina lake, kwa kusema “mimi natafuta jina kupitia jina lake, c’moooooon mimi nimekua staa since 2006 Diamond ameanza kujulikana 2007, plsss Diamond umenidisappoint…..jirekebishe”
PICHA NA HABARI KWA HISANI YA MILLAD AYO UKIIPENDA ACHA UJUMBE Monday, April 2, 2012
PONGEZI ZANGU ZA KWA WAFUATAO KUANZIA MWISHONI MWA WIKI HADI LEO JUMATATU.
NAPENDA PIA KUCHUKUA FURSA HII YA KIPEKEE KUWAPONGEZA WANA CHADEMA WOTE KWA USHINDI MZURI TU WALIOUPATA HUKO ARUMERU MASHARIKI LAKINI PIA KUMPONGEZA SIOI SUMARI KWA KUKUBALI MATOKEO HAYO WAKATI AKIJIPANGA VIZURI KWA MWAKA 2015 . NACHOWEZA KUSEMA KWA WANA CCM NI KILICHOBAKI NI KURUDI NYUMA KUJITATHIMINI NA KUJIPANGA ZAIDI HII NI KAZI NZITO SANA NA YENYE KUHITAJI MOYO NA NGUVU.
PONGEZI NYINGI KWA WASHINDI WA TUNZO ZA HABARI TUZO MAHIRI NDUGU YANGU NA MWANA HABARI MWENZANGU ABEL ONESMO KUTOKA CLOUDS TV LAKINI PIA SWAHIBA ANTONIO NUGAZ MMETUWAKILISHA VYEMA WANA MJENGONI.
TUNATEGEMEA NA MWAKANI PIA INSHALAH MCHUKUE VILE VILE PIA.
Friday, March 30, 2012
DIVA LOVENESS LOVE HER OFFICIAL BIOGRAPHY
Hello,How U doing EveriBody...
my name is Diva Loveness Love AKA Mimi AKA Gissele Morales
Ala za Roho Host Cloudsfm/Tv, Executive Producer,Voice Artist,PR Manager, Best Female Radio Personality Award Winning Babkubwa Magazine And SFC ,Polite,shy,Alter Ego.Sasha Fierce and Hilarious Sometimes.
Iam a Very Unique individual ,I Have Personality that Catches Attention,I am very Versatile when it comes to Fashion,I Love Fashion,Music,shopping,Laughing Hard,and ofcourse Posing infront of a camera lens.I'm Defined as a go getter and i wont give up Until I Reach My Goals,Ala za Roho is Just a Beggining of My Journey.Ala za Roho Is My Boyfriend,Im Married to My show,I Love it soo Much with all My Heart.I Have such a strong Passion For Radio and Tv and Cloudsfm Fulfill My Dreams,Massive thank U All,May God Bless U.my name is Diva Loveness Love AKA Mimi AKA Gissele Morales
Ala za Roho Host Cloudsfm/Tv, Executive Producer,Voice Artist,PR Manager, Best Female Radio Personality Award Winning Babkubwa Magazine And SFC ,Polite,shy,Alter Ego.Sasha Fierce and Hilarious Sometimes.
I BELIEVE IF U BELIEVE YOU WILL ACHIEVE and Keeping God first will Make Possible, My Dreams is Going Back to school and have that Degree in Media Studies.Inshaallah i will fulfill My Dreams,its been a long time coming but i yet have not gave up.We all have Dreams and Aspirations of achieveing something but though the Road May be tough,Be strong and do not give Up, for in Do season your work will be rewarded.I'm a firm believer in God and i keep him first,I'm letting him Guide me along this Journey so therefore success and favor will follow me to the top.
Tanzanian Insipiration to me always Captain G Habash from Zero to Hero,Ruge Mutahaba as a Leader,Joseph Kussaga as a Good Hearted Boss-I honor You,Salama Jabir as My Mirrow,My Role Model- I salute u,zitto zuberi Kabwe as a Confident Man in Politics And a Dreamer.Amina chifupa As My Dream .... Rest in Peace.love u always.
Last but not least Massive Thanks To My fans................U Guys Mean the World to Me,U guys are My Everythng,I Love yall Much,Throwing Kisses.
Team Diva And TeamMakorokocho for Life
Blessed.
THAT'S IT FROM HER BLOG!!THANX DIVA
Tanzanian Insipiration to me always Captain G Habash from Zero to Hero,Ruge Mutahaba as a Leader,Joseph Kussaga as a Good Hearted Boss-I honor You,Salama Jabir as My Mirrow,My Role Model- I salute u,zitto zuberi Kabwe as a Confident Man in Politics And a Dreamer.Amina chifupa As My Dream .... Rest in Peace.love u always.
Last but not least Massive Thanks To My fans................U Guys Mean the World to Me,U guys are My Everythng,I Love yall Much,Throwing Kisses.
Team Diva And TeamMakorokocho for Life
Blessed.
THAT'S IT FROM HER BLOG!!THANX DIVA
Meet model Tania Prettydiva Kessy me love her much
The girl is from Nairobi kenya
doing her things at FTV Modelling North America
she is a top Model Lives in Beverly Hills, California.
for More information and historical background of her modeling things stay tune on this blog.
Thursday, March 29, 2012
MAAJABU YA ASPIRIN KUZUIYA SARATANI !!! HEBU JISOMEE HII ( ZINGATIA USHAURI WA DAKTARI)
Kumeza kidonge cha aspirini kila siku inaweza kuzuia na hata kutibu saratani. Taraifa hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya.
Watu wengi tayari wanatumia Aspirini kama dawa ya maradhi ya moyo.
Lakini wataalamu wanaonya kuwa hakuna ushahidi wa kutosha kuelezea watu kutumia aspirin ili kuzuia saratani na hata vifo vinavyotokana na saratani.
Wataalamu hao wanaonya kuwa dawa hiyo inaweza kusababisha athari kubwa kama kuvuja damu tumboni.
Prof Peter Rothwell,wa chuo kikuu cha Oxford akiwa na wakufunzi wengine ambao wamefanya utafiti wa hivi karibuni, tayari walikuwa wamehusisha aspirin na kuzuia aina ya saratani hasa saratani ya matumbo.
Vidonge vya Asprin
Sasa wataalamu wanaamini kuwa uwezo wa dawa hiyo kuzuia saratani, hutokea mapema mno kati ya miaka mitatu na mitano. Hii ni kwa mujibu wa taarifa mpya kutoka kwa majaribio 51 yaliyohusisha wagonjwa 77,000.
Na asprini haionekani tu kuzuia tisho la kuugua aina nyingi ya saratani bali pia lakini pia inazuia saratani kusambaa kwa sehemu zingine mwilini.
Hata hivyo majaribio hayo hayakufananisha dawa ya aspirini na dawa zengine zinazoweza kuzuia maradhi ya moyo.
Lakini wakati kikundi cha wataalamu, kilichoongozwa na Profesa Rothwel kilidurusu wangapi kati ya watu waliohusika katika utafiti huo walipata kuugua saratani na hata kufariki kutokana na ugonjwa huo, waligundua kuwa vifo vilitokana pia na matumizi ya aspirin.
Kuzuia kusambaa kwa Saratani
Kwa mtu anayetumia kiwango kidogo cha dawa hiyo kila siku, ilionekana kupunguza idadi ya visa vya saratani kwa robo baada ya miaka mitatu pekee.
Ni watu tisa waliogungulika kuwa na saratani katika watu elfu moja kila mwaka ikilinganishwa na watu kumi na mbili kwa watu elfu moja kwa wale waliomeza tembe hizo.
Pia ilipunguza idadi ya vifo vilivyookana na saratani kwa asilimia kumi na tano.
ONYO TOKA KWANGU MIMI SOPHIE USITUMIE DAWA BILA USHAURI WA DAKTARI TAFADHALI SANA .
Chocolate humfanya mtu kuwa mwembamba!!!!!!!!!
Watu wanaokula Chocolate mara kwa mara huwa wembamba. Hii ni kwa mujibu wa utafiti mpya. Karibu watu 1000 nchini Marekani walifanyiwa utafiti ambao wamekuwa makini katika vyakula vyao.
Waliokuwa wakila Chocolate mara kwa mara walipatikana wakiwa wembamba kuliko wenzao ambao hula Chocolate baada ya muda. Wanasayansi wanasema, japo Chocolate ina sukari nyingi, ina viungo ambavyo husaidia kupunguza uzito wa mwili, lakini siyo kuchoma mafuta.
Hii siyo mara ya kwanza wanasayansi wameelezea umuhimu wa Chocolate. Utafiti wa awali umeonyesha Chocolate inasaidia moyo.Baadhi ya chocolate zinasaidia kupunguza msukumo wa damu, kiwango cha sukari mwilini pamoja na mafuta.
Lakini kuna onyo la kuwa makini na Chocolate unayoila kwani baadhi zina sukari na mafuta mengi.Ikiwa unataka kuwa na afya bora, jaribu kula mboga na matunda mengi
Wednesday, March 28, 2012
CHAZ BABA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MASHUJAA BAND.
Jana Tarehe 27 march 2012 Wanamuziki wa Mashujaa Musica walimchagua kwa kishindo Chaz Baba kuwa Rais wao ktk uchaguzi uliokuwa wa uwazi na haki.Baada ya wasimamizi wawili ambao ni wadau wa Mashujaa,na waliopendekezwa na Wanamuziki wenyewe wakisaidiwa na Mnenguaji mmoja Swty Beby walihesabu kura kwa uwazi na hatimae kutangaza matokeo.Chaz Baba alishinda kwa kupata kura 19 kati ya 26 zilizopigwa.....
Face Transplant Operation is 'Most Extensive in History' ( upasuaji wa sura ulioweka historia kwa kutumia muda mrefu zaidi katika historia)
A 37-year-old Virginia man severely disfigured by a 1997 gun accident has received the most extensive full-face transplant in medical history, according to University of Maryland Medical Center surgeons.
Hospital officials report that Richard Lee Norris, of Hillsville, Va., is recovering well after an amazing, medically unprecedented 36-hour surgery that not only gave him a new face—from the hairline to the neck--but also teeth, a tongue, and upper and lower jaws. (See before/after photo above, right.)
A week after the full-face operation, Norris’ improvement has exceeded his doctors’ expectations. He can open and close his mouth and is already brushing his new teeth and shaving the whiskers growing on the transplanted face. He’s miraculously regained his sense of smell, which he’d lost after the accident.
11 Ways to Save Money on Healthcare
15 Years Hiding Behind a Mask
After the gun accident destroyed his face—robbing him of his lips, nose and teeth and limiting use of his mouth—Norris underwent many lifesaving and reconstructive surgeries. He remained so disfigured that he became a recluse, hiding in his home by day and only venturing out at night to shop, wearing a mask to conceal his face, according to a report by MSNBC."It's a surreal experience to look at him. It's hard not to stare. Before, people used to stare at Richard because he wore a mask and they wanted to see the deformity," said lead surgeon Dr. Eduardo Rodriguez, associate professor of surgery at the University of Maryland Medical Center. "Now, they have another reason to stare at him, and it's really amazing."
9 Unhealthy Workplace Habits
A Groundbreaking Medical First
Norris’ doctors say that the two-day operation is the world’s first full-face transplant performed by a team of plastic and reconstructive surgeons with specialized training and expertise in craniofacial surgery and reconstructive microsurgery.In all, more than 150 doctors, nurses, and medical staffers were involved in the groundbreaking procedure, which used innovative surgical and computerized techniques to “precisely transplant the mid-face, maxilla and mandible including teeth, and a portion of the tongue,” as well as underlying muscles and nerves, said Dr. Rodriquez in a news release.
“Our goal is to restore function as well as have aesthetically pleasing results.”
Breakthroughs in Tissue and Eye Surgery
A Rare Operation
Norris is only the 23rd person in medical history to receive a face transplant since surgeons began doing the operation seven years ago. The first full-face transplant was performed in France, on a woman whose face was severely mauled by her dog. The first US partial face transplant was done at the Cleveland Clinic in 2008, while the first U.S. full-face procedures were performed last year at Brigham and Women’s Hospital (BWH) in Boston.Recipients include Dallas Wiens, a 26-year-old Texan who accidentally struck a power line while painting a church; Mitch Hunter, 30, of Indiana, disfigured by a car crash, and Charla Nash, who was famously attacked and mauled by a neighbor’s pet chimpanzee, Travis. The three patients’ results were described in a recent New England Journal of Medicine study.
What’s Involved in a Full-Face Transplant?
"Unlike conventional reconstruction, facial transplantation seeks to transform severely deformed features to a near-normal appearance and function that conventional reconstructive plastic surgical techniques cannot match," NEJM study author Dr. Bohdan Pomahac, director of the plastic surgery transplantation program at BWH, reported last year. "It truly is a life-giving procedure."Before a full-face transplant, patients must undergo rigorous medical and psychological exams to determine if the person is physically and mentally ready for the grueling and life-altering surgery and its potential risks, which including infections, anesthesia reactions, severe bleeding, and the possibility that the transplant may fail.
How risky are full-face transplants?
In the NEJM study, Hunter and Nash had “single episodes of rejection,” which were successfully treated with immunosuppressant drugs so their bodies wouldn’t reject the new faces. All three patients in the study got infections, with Nash developing both pneumonia and kidney failure after the operation.Nash’s doctors also tried to give her new hands (from the same donor) to replace those lost in the chimp attack, a procedure only attempted once before, in France. In Nash’s case, the hand procedure failed and the new hands had to be amputated. However, the full-face transplant took and she has regained sensation, but not movement, in her face, according to CBS.
What might be ahead for Richard Lee Norris?
In the NEJM study, the three patients who received full-face transplants all regained partial sensation in their new faces in a few months. The researchers also reported promising results in 18 patients who received face transplants since 2005, but most were to repair partial disfigurement.Based on these cases, Norris’ appearance is likely to gradually transform over time to look like a combination of his new and original face, and he may regain at least partial sensation. Dr. Rodriquez is hopeful that Norris, who is unemployed and has lived with his parents since the accident, will now be able to have a full life.
"This accidental injury just destroyed everything,” Dr. Rodriguez told Associated Press. “The rest of his friends and colleagues went on to start getting married, having children, owning homes.” After 15 years behind a mask, “he wants to make up for all of that.”
source BBC News and Yahoo.
Friday, March 23, 2012
Millen Magese Model Search
MMG Africa Scouting Agency proudly presents the "MILLEN MAGESE MODEL SEARCH 2012.
Are u serious about being a model? Well here’s your chance to jump-start your career!
If u feel u have what it takes, get urself to the venues , and stand a chance to win THE opportunity of a lifetime.
send us email @millenmagesemodelsearch@gmail.com nd receive#for the casting.
Millen.
Subscribe to:
Posts (Atom)




































