Nyota wa timu ya Barcelona na
Argentina Lionel Messi anakabiliwa na mashtaka ya ukwepaji wa kodi,hii
ni kwa mujibu wa jaji mmoja wa Uhispania.African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Tunapatikana Sinza kwa Remmy
Sunday, October 5, 2014
NYOTA WA TIMU YA BARCELONA NA ARGENTINA LIONEL MESSI MATATANI KW AKUTOLIPA KODI
Nyota wa timu ya Barcelona na
Argentina Lionel Messi anakabiliwa na mashtaka ya ukwepaji wa kodi,hii
ni kwa mujibu wa jaji mmoja wa Uhispania.Messi na babaake Jorge wanashtakiwa kwa kuiibia mamlaka ya taifa hilo zaidi ya yuro millioni 4.
Wote wamekana kufanya makosa hayo yalioanza mwaka 2007.
Friday, October 3, 2014
SHIKITO ANDONDOSHA JIWE HAYA KAZI KWAKO SIKILIZA
haya haya wale wapenzi wa muziki wa dansi mambo ya rumba mmmh .....unapomzungumzia kijana Shikito kwa wapenzi wa muziki wa dansi na wale wanaofuatilia muziki mtakuwa mnamfahamu vyema jamaa alitikisa sana wakati yuko kwenye band ya Ferre golla kwa hivi sasa kijana huyo kipenzi cha wengi liamua kujiondoa na kutaka kufanya kazi zake binafsi naam sasa basi baada ya kuamua kujiengua kutoka katika kundi la Ferre golla je atafanikiwa kusimama na kufanya makubwa kama ya bosi wake msikilize hapa. Mengi zaidi kumhusu shikito yanakuja .bofya hapa na burudika weekend njema
ferre gola na shikito wakitumbuiza walipokuja Tanzania
LIBERIA KUMSHITAKI MGONJWA WA EBOLA
Kutoka nchini Liberia Maafisa utwaala nchini humo, wanasema watamshitaki mwanamume mmoja aliyepatikana na ugonjwa wa Ebola huko nchini Marekani wakimtuhumu kuwa alitoa taarifa za uongo .
Thomas Eric Duncan ambae ndie mgonjwa wa Ebola alitakiwa kujibu maswali kadhaa kabla ya kusafiri kwenda Marekani mwezi uliopita lakini maafisa wanasema aliulizwa ikiwa alikutana na jamaa yake mwenye virusi hiyo akasema hapana. Alisema hakuna jamaa yake yeyote ambae anaugua ugonjwa huo.
Ingawa waziri wa afya amesema kuwa mwanamume huyo alionekana akimpeleka nduguye hospitalini.
Bwana Duncan kwa sasa yuko katika mbaya, katika hospitali ya Dallas anakopatiwa matibabu.
Cameron atembelea Afghanistan
Waziri mkuu David Cameron wa Uingereza ameahidi uuungaji mkono wa nchi yake kwa Rais mpya wa Afghanistan Ashraf Ghani na serikali mpya ya Umoja wa kitaifa. Waziri mkuu huyo aliyewasili kwa ziara ya ghafla mjini Kabul leo, amesema Uingereza imejitolea kuwasaidia waafghan kujenga mustakbali mwema na wenye usalama.
HELLOW FRIENDS!!! TARATIBU NAREJEA BAADA YA KUPOTEA KIMASOMO.
Habari za masiku wapendwa ? wazima nyie kwanza naomba mniwie radhi kwasababu nilikuwa na mambo mengi sana yamenitinga kiasi kwamba nikawa nashindwa kuwapa habari mbalimbali .
Mwenzenu kazi nyingi lakini pia nimekua chuo sasa na huu ni mwaka wangu wapili ambapo inshalah mwezi ujao ndo nahitimu elimu yangu si unajua wapendwa elimu haina mwisho mtumzima mwenzenu nilienda kujinoa vile ha ha ha lol ili niwe sawa basi nitarejea kwakua ndio hatua za mwisho nahitimu walau ntakuwa natokeza hapa kuwapa mawili matatu yanayojiri duniani nisiwachose najua loong hatujazungumza ngoja nirejee kwenye kazi wakati mwingine tutaongea zaidi.
Nawapenda sana tafadhali tuwe pamoja
Wenu Mwana blogger
Sophia Kessy
Mwenzenu kazi nyingi lakini pia nimekua chuo sasa na huu ni mwaka wangu wapili ambapo inshalah mwezi ujao ndo nahitimu elimu yangu si unajua wapendwa elimu haina mwisho mtumzima mwenzenu nilienda kujinoa vile ha ha ha lol ili niwe sawa basi nitarejea kwakua ndio hatua za mwisho nahitimu walau ntakuwa natokeza hapa kuwapa mawili matatu yanayojiri duniani nisiwachose najua loong hatujazungumza ngoja nirejee kwenye kazi wakati mwingine tutaongea zaidi.
Nawapenda sana tafadhali tuwe pamoja
Wenu Mwana blogger
Sophia Kessy
Tuesday, July 1, 2014
YVONNE MWALE AMEACHIA ALBUM YAKE MPYA IITWAYO "NINKALE – LET ME BE"
With a big live concert the Zambian Afro-Jazz songstress Yvonne
Mwale released last Saturday her latest record "Ninkale – Let It Be"
in Frankfurt (Germany).
Though still new to Germany Yvonne Mwale managed to mobilise a
large crowd of people to attend at 'Das Bett', a popular place for live
concerts in Frankfurt. After one of Germany's biggest entertainment magazines
featured Yvonne with a full page article a good number of locals became curious
to see what the African Star had to offer. Those who joined were not
disappointed: for two and a half hours Yvonne Mwale rocked the place and kept
the crowd dancing all night long, cheered by an excited audience. To maintain
the African originality Yvonne had 'Sir' Jones Kabanga from Zambia and 'Twaba'
from Tanzania on stage. Since the concert was a record release concert the new
album 'Ninkale' was for the first time on sale that night. Most visitors
decided to go home with their own copy after watching a convincing performance
of the whole band. Many of them queued up the get their copy signed by the
artist.
When asked about how she feels about her new album Yvonne had to
say: "Working in such a studio with only professional musicians was a new
experience for me. But it helped me to extend my limits further. It's great
after all that work to see the album finally out and selling. Now, after
performing my first major concert here in Germany after the 2010 tour I'm
excited to see all the people here. It's good to see that even in Europe the
audience loves our Africa music and I will give my best to reach a wider
audience with it."
The album was previously recorded in the Art Of June Studios,
one of the major german recording studios that allows to record full bands
live. The 14 tracks of the album feature besides the Zambian guitar legen 'Sir
Jones' also the Tanzanian percussionist Twaba, the danish saxophonist Bobby
Ricketts as well as musicians from Germany that usually perform with German
superstars like Xavier Naidoo and Glashaus. To get the final polish, the album
was after mixing sent to Switzerland for mastering.
With her latest album Yvonne Mwale is further establishing her
position in the global World Music scene. First reviewers have been excited
about the artistic and technical quality that take Zambian music to a whole new
level. The album is available in all popular music stores and streaming
services around the world (e.g. iTunes, Amazon, Google Play, Spotify, Deezer
and many more).
In July Yvonne will perform at the Africa Festival in Stuttgart
(Germany). Further shows later this year are in preparation.
A short video documentary about the making of the album is
available here: https://www.youtube.com/watch?v=OB5siXT6iUY
Yvonne Mwale performing with her band during the record release concert in Frankfurt. Foto: Felix Sboron
Yvonne Mwale performing during the record release concert in Frankfurt. Foto: Felix Sboron
Yvonne Mwale and Sir Jones during the record release concert in Frankfurt. Foto: Felix Sboron
Tanzanian percussionist Twaba performing at the record release concert in Frankfurt. Foto: Felix Sboron
Yvonne Mwale signing copies of the new album for fans. Foto: Matthias Krämer
Yvonne Mwale singing the 'lead vocal' for the musicians during the album recording. The final voice was recorded later. Foto: Matthias Krämer
Yvonne Mwale singing the 'lead vocal' for the musicians during the album recording. The final voice was recorded later. Foto: Matthias Krämer
Thursday, June 5, 2014
ADHABU KWA MKE KWA KUMTELEKEZA MUME
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameamrishwa na mahakama
kumlipa mumewe shilingi elfu tatu au dola 35 kama hela za kukidhi
mahitaji yake na watoto wake kila mwezi.
Mwanamke huyo kwa jina Roselyn Muyonga, ambaye
anatuhumiwa kwa kuwatelekeza mumewe na watoto wake watatu , huenda
akafungwa miezi mitano jela au kutozwa faini ya shilingi laki mbili
ikiwa atakosa kutekeleza amri ya mahakama.Afisaa mmoja wa watoto katika jimbo la Kakamega Magharibi mwa Kenya, alisema kuwa mwanamke huyo alipuuza jukumu lake la kulea watoto wake baada ya yeye na mumewe kutalakiana.
Afisa huyo alisema kuwa wanaume huachiwa majukumu mengi sana wakati wanapoachwa na watoto na kwamba wanawake kama Roselyn wanapaswa kuamrishwa kuwatunza watoto wao hata kama wameachana na waume zao.
Tayari mashirika kadhaa yanataka kushinikiza sheria ya kuwashurutisha wanawake kutoa mchango kwa kuwalea watoto wao wanapoachana na mwanamume au baba ya watoto.
Kwa mujibu wa afisaa mmoja wa watoto, visa vya wanawake kuwatelekeza watoto wao katika jimbo hilo vimeongezeka.
chanzo BBC
HAYA KAZI KWENU WAPENDA KUONYESHA MIILI YENU HADHARANI INSTAGRAM YAFUTA PICHA ZA UCHI
Mmoja wa waasisi wa mtandao wa kijamii wa Instagram, ameambia BBC kuwa sheria zake kuhusu picha za uchi hazimbagui mtu yeyote.
Kampuni hiyo imekosolewa vikali kwa kwa kuondoa picha za wanawake walio nusu uchi kwenye mtandao huo.
Masharti ya matumizi ya mtandao wenyewe, yanasema: 'Mtu haruhusiwi kuweka picha za watu walio nusu uchi na picha zenye mada ya ngono. ''
Matamshi yake yanakuja baada ya mwanawe muigizaji maarufu, Bruce Willis, Scout Willis kuweka picha yake kwenye mtandao huo akiwa nusu uchi bila kitu kifuani.
Muimbaji Rihanna, ambaye alikuwa na wafuasi milioni 1.3 aliunga mkono kampeini hiyo kabla ya kufunga akaunti yake.
Wamiliki wa mtandao huo wanasema sheria zinapaswa kufuatwa na kila mtu awe mtu mashuhuri au vinginevyo.
"lengo letu ni kuhakikisha kuwa Instagram, ni mahala salama kwa kila mtu , awe maarufu au la. ''
"tunapaswa kuwa na sheria na kuhakikisha kuwa kila mtu anafuata sheria hizo. Bila shaka tunapata changamoto nyingi lakini tutnaedneklea kusisitiza umuhimu wa sheria kufuatwa, '' alisema Systrom
Huku umaarufu wa mtandao huo ukiendelea kuimarika, mtandao huo umekosolewa kuhusiana na baadhi ya picha zinazochapishwa humo . Pia mtandao wenye umebana baadhi ya maneno yanayohusiana na madawa ya kulevya.
Instagram ilinunuliwa na Facebook mwaka 2012.
Chanzo cha habari BBC swahili.
Wednesday, June 4, 2014
NATHALIE MAKOMA NI NANI MFAHAMU WALAU KWA UFUPI TU !
Hebu kwanza kabla hatujaenda kumtazama na kumfahamu
angalia wimbo huu alioweza kuimba na mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi
bonge moja ya rumba Nathalie Makoma akiwa na Papa Wemba wanakuambia Six millions ya ba soucis ...kisha nitakujuza zaidi.
<iframe width="640" height="390" src="//www.youtube.com/embed/ljEtJYGRxGg" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>Naaam Nathalie makoma sio jina geni sana kwenye ulimwengu wa muziki wa gospel kwasababu ndiko alipotokea mwana dada mahiri mwenye sauti ya kipekee kutoka jamhuri ya kidemokrasia ya kongo.. alijulikana mmo wakati alipoachia kibao cha Nzambe na Bomoyi (Jesus For Life) wakati huo wakiwa waimbaji kwaya wanafamili anzima ya Makoma.
Nathalie Makoma, alizaliwa huko Kinshasa, Zaire February 24, ya mwaka 1982, ni mwambiji wa ambae amekulia kwa wa Dutch slakini mwenye asili ya kongo.
Wazazi wake wote wanatoka ni wenyeji wa jamhuri ya watu wa Congo. She alikuwa muimbaji kiongozi katika kundi la Makoma kabla ya kujiengua na kuwa mwanamuziki wa kujitegemea yani solo artiest
mwanadada huyu amewahi pia kushiriki katika mashindano mbalimbali ya uimbaji ikiwemo lile la Dutch Idols shindano ambalo lilimpeleka mpaka hatua ya nne bora singing competition in its fourth season reaching the final and finishing as runner-up toshindano ambalo naweza kusema kwamba lilimfungulia milango na hatimae kuingia mkataba na makampuni makubwa sana yaliomfanya aanze kutengeza fedha ikiwemo lile la Sony BMG. .
Nathalie Makoma alianza kuimba akiwa na kundi la familia yao 1993 alipokuwa na umri wa miaka 7 tu wakati ambapo bendi yao ilijulikana kwa jina la "Nouveau Testament". kisha baadae kubadilishwa jina na kuitwa Makoma kundi ambalo liliundwa na wanafamilia wapatao saba (7) wakiwa kaka zake watatu na kijana mmoja ambae hakuwa mwanafamilia ambae alikuwa ni mpenzi wa mmoja w adada zake.
kundi la makoma lilipata umaarufu mkubwa sana sana kwasababu walijua kuimba lakini pia walitumia lugha tofauti tofauti kuimba ikiwemo kingereza, lingala na kifaransa tena kwa ufasaha kabisa.
alipokuw ana umri w amiaka 14 Nathalie alihamia Netherlands pamoja na familia yake na kuanz akuchukua masomo ya maswala ya muziki jukwaani na namna ya ku imba wkatika chuo cha Rockacademie huko Tilburg.
wakati huohuo kundi la makoma lililuwa likiendelea kufanya matamasha kama kawaidana kuzunguka dnia nzima kwa matamasha wakati ambapo nathalie alikuwa ameacha kuambatana na kundi hilo na kujikita zaidi katika maswala yake ya elimu zaidi.
Mnamo mwaka 2002, kundi lao likashinda tunzo ya Best African Music Group, kwenye Kora South African Music Awards.na waliweza kupata mafanikio dunia nzima kutokana na kuimba muziki wa dini .
akiwa muimbaji kiongozi , Nathalie pia alijaribu sana kujiendeleza kimuziki na mwaka 2002 akaachia album yake ya kwanza waliyoiita On Faith (2002). album ambayo aliimba bado katika mahadhi ya dini.
Mwaka2004, akaikacha makoma moja kwa moja na kuhamakazi yake huko Englandshe na baadae akiwa nchini . mwaka 2005, akatoa album nyingine akiwa kama solo sna kuiita I Saw the Light hii ilikuw ani album yake ya pili.
hivyo ndivyo alivyo anza mwana dada huyu mpaka hapo alipofika leo na kisha kuamua kuutosa muziki wa dini na kujikita zaidi katika muziki wa dunia .
Nathalie akiwa na mume wake.
Nathalie ameolewa kama uonavyo pichani juu akiwa na mumewe na pia ni mama nisikuchoshe ila kama unataka kufahamu zaidi juu ya mwana mama huyo basi niulize ntakujibu hapo nimekujuza kwa kifupi mmno mwana mama huyu ana mambo mengi mno kadri muda unavyozidi kwenda natakuwa nakujulisha zaidi.
Subscribe to:
Posts (Atom)









































