Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, February 7, 2012

BENDI YA MASHUJAA MUZIKA YAFUKUZA KAZI WANAMUZIKI WAKE 10


baada ya kumchukua Charles,baba aliekuwa mwanamuziki wa twanga pepeta na 33 wa Fm cademia. Bendi ya mashujaa musica ambayo inaongozwa na Mashujaa entertainment wiki hii imetoa kali ya mwaka kwa kuwafukuza kazi wanamuziki wake takriban 10 waliokuwa wakongwe wa bendi hiyo akiwemo raisi wa zamani wa bendi hiyo Jado fidfors, Manager mpya wa bendi hiyo Max amezungumza na kipindi cha mama land juu ya sakata hilo na kwanini wanamuziki hao wamefukuzwa mbali ya raisi wa zamani wa bendi nani wengine waliofukuzwa kazi??

Monday, February 6, 2012

LADY JAY DEE AMESEMA SIKU YAKE IKIFIKA LAKE LIWE LA RANGI HII!!!!!!!!!!!



Halafu simulizi kamili ya story nzima kuwa nataka iweje ziko kwenye wimbo wangu mpya
Mpaka kuhusu nani awepo na nani asiwepo na nini kifanyike
Nani achukue nini na nani afanye nini

Stay tuned


PICHA NA STORY FROM JAY DEE BLOG.

Kuolewa na Mzungu ni ”mapenzi” au ni ”mali”? usikose WanawakeLive Mange Kimambi na Devota Johansen jnne hii

Kesho tarehe 7 February katika kipindi cha Wanawake Live,tunao wake wa wazungu Mange Kimambi pamoja na Devota,wengi mtakuwa mnamkumbuka aliyekuwa mke wa marehemu Dandu,kweli wamefunguka mengi kuhusu Familia , Ndoa na watoto. Kwa undani zaidi kuna Mengi ambayo wamefungua ambayo hayajawahi kuongelewa popote,wamefunguka ndani ya wanawake Live.

Super Woman Joyce Kiria akifungua show ya Wanawake Live

hahahahahhaahahaha kicheko cha Joyce Kiria unajua nini kilichomfurahisha ndani ya kipindi kesho

Super Woman Joyce Kiria akiwakaribisha wageni wake Mange Kimambi na Devota.

Mama Lincon a.k.a Super woman akisisitiza jambo ndani ya kipindi cha Wanawake Live.

Devota Johansen akiongelea jambo ndani ya kipindi cha Wanawake live,Jua mengi kutoka kwake?Ana watoto watatu but she is Amazing n Fabolous she still looking hot and Sexy.

Muke ya Muzungu Mange Kimambi, kawaida ndani ya show ya Wanawake Live kucheka ni kitu cha kawaida,nae alifunguka vya kutosha.

Super Woman Joyce Kiria akimsikiliza kwa makini Devota Johansen.

Mange akichangia mada huku devota akimsikiliza kwa umakini kabisa.

Wamependeza vya kutosha, Dah amini usiamini wala hawakuambiana wavae nini ila ilitokea tu, wamekutana studio wote ndani ya BLACK,they look Hooooooooot.

Muda ulikuwa mdogo mno kiukweli Mange na Devota walikuwa na mengi mengi ya kuongelea , ila walifunguka mengi .
Msikose kabisa kuangalia Wanawake Live Show kesho saa tatu kamili ndani ya tinga number moja kwa vijana EATV.

Friday, February 3, 2012

Was absent for a few months in the country, Ferre Gola announced in Kinshasa on February 6


Ferre Gola returned to Kinshasa this Monday, February 6, 2012 after several months of absence from the country. The author of "Who is behind you? "Back to Europe where he recorded his new album" taste "already on the market before the official release of the album" Black Box "which will take place during this year. "taste" is a kind of remove the curtain for this former musician in the orchestra Wenge Musica Maison Mere. More than a maxi-single, "taste" with two songs and the credits. It is in this tube where the singer has made ​​use of the famous Ivorian style "offset Coupe" that sells well today. Upon arrival, officials said sources close to the artist, Ferre Gola plans to meet the music press Kinshasa. Question for the author of "Sense Forbidden" to explain to reporters columnists musical content of his new album. Dieumerci Mayamba

Baada ya Kutangaza kutokuwa na hatia ya ubakaji watoto mwanamuziki kofii asema yupo tayari kutinga mahakamani nchini ufaransa.



Katika mkutano  wake na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki huko Kinshasa wakitia akizungumzia kuhusu album yake mpya iitwayo "Abracadabra," Koffi alisema alikuwa tayari kukutana uso kwa uso na wahusika wa mahakama  za Ufaransa katika siku chache zijazo, kusimamisha taarifa za kesi ya ubakaji inayo mkabili baada ya kukiri na kutangaza kwamba hana  hatia.
" Nadhani tatizo lolote linapotokea kawaida ni kupatiwa  ufumbuzi. Hivi karibuni, nami kwenda Ulaya kujifunza zaidi juu ya kesi. Mimi si hofu ya kitu chochote ...ALISEMA KOFII.
Kwa sababu ukweli hatimaye UTAJULIKANA  ... ", alisisitiza

WERRASON WHAT IS THAT!!!!!!!! KAMA KWELI BASI ITASHANGAZA WENGI


this article is about fabregas and werrason and it says werra and his staff expected fabregas to be " musically dead" once he left maison mere and they are surprised with the way the guy has managed to do a lot of promotion of his coming album on various tv international tv channels so it pisses them off and werra is trying to force tv owners to stop promoting fabregas by promising to give them exclusive suite et fin 2 clips even before its officially out
if all this is true, it wont be the first time that werra acts that way with his former employees
he already rent in the past studio ndiaye just for clips dance rehearsals whereas bill clinton,lacoste and ferré were aiming to record songs for their albums ( which of course were then delayed,)

source by vibesdafrique

Ferre Gola and Soleil Wanga and Celeo at Hotel Novotel Paris


vijana wa kazi wanapokutana kama unakumbuka hawa jamaa waliwahi kufanya kazi pamoja walipokuwa kwa kofii na walipokuwa kwa werrasoin coz Ferre na Celeo walifanya kazi kwa werasoin lakini soleil na ferre waliwahi kufanya kazi kwa kofii wakati ulee. wanamuziki hao kwa sasa kila mmoja anafanya kazi na bendi yake wakiwa Paris


Tuesday, January 31, 2012

UKUCHA JAMANI UUH!!!!! ZIMENOGAJE????

 HAPO CHACHA JIULIZE WANAJISAFISHAJE MMMH??
 O YA YA YA A
 MIE NA KUFA JUU YA HIZO UUUH I LOVE THE RANGI AND KILA KITU
 SAFIII

 HAPA NDIO ZIKIBADIKWA NA CICI M DADA WA KICHINA HAPANA CHEZEA YEYE
 UUUH INANIGA EEH

 HAPO KWENYE POOZ SASA
GLITERS MAMA

Tuesday, January 24, 2012

Out with Friends kona tofauti tofauti

 Jakie, ashimba, juce and moi
 moi and Jucy friends forever
 jijini A city nilikutana na Rafiki yangu wa siku nyingi sana tulipotezana kama miaka 7 iliopita nikakutana nae dah bahati mbaya camera ika wa ziiiii ila walau nina taswira yake thank you Neema
 juce and friend
 hapa ilikuwa Dar na marafiki from finland white Jucy , moi and ashimba from bagamoyo
 mzigoni ndani ya a city
 mwanamuziki Chimbende baada ya kufanya ae mahojiano sty tune on Mama land show ijayo
 Ray Ray take to and.............................
 my Big Producer Mudy Mapesa ha ha ha ha miaka 1000000000
hapa nilikuwa jijini arusha pichani Raymond Camera man akipiga pic za link za show yangu

Wednesday, January 18, 2012

MBUNGE WA CCM JEREMIA SUMARI WA JIMBO LA ARUMERU AFARIKI DUNIA "


TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mbunge wa Jimbo la Arumeru kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Jeremia Sumari amefariki dunia leo.

Mbunge huyo alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa kipindi kirefu na wakati anakutwa na mauti leo alfajiri alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.


Jeremia Sumari ni mbunge wa pili kwa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufariki kwa mwaka huu 2012 baada ya kutanguliwa na mbunge wa viti maalum Chadema, Regia Mtema.

MWENYEZI MUNGU AMALAZE MAHALI PEMA PEPONI
 AMIN.

JK AONGOZA MAMIA KATIKA MAZISHI YA REGIA MTEMA MJINI IFAKARA JANA


 Rais Kiwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Regia ambaye alikua Mbunge wa Viti maalum (CHADEMA)
 Rais Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu
Rais Kikwete na Spika wa Bunge Anna Makinda na baadhi ya viongozi wakiwa kwenye mazishi ya Regia

Tuesday, January 17, 2012

FERRE GOLA "AVANT GOUT" BOITE NOIR/ CLIP PORTE MONNAIE

2FACE IS EXPECTING A BABY N0.6



Linda Ikeji said that Tuface Idibia is expecting baby No.6 with one of his baby mama’s and mother of two of his children, US-based Pero Adeniyi.
Pero is due to give birth to the couple’s third child together in March. And I hear it’s going to be another boy.
The reason Pero’s third pregnancy for the hit maker was not known until now is because she’s been in the US for a while, so no one in Naija saw the protruding tommy…
His PR manager Bayo Omisore has confirmed the pregnancy. Big congrats to Tuface and Pero.

TANZANIA CONGO MUSIC – SAID COMORIEN

Monday, January 16, 2012

IJUMAA ILIKUWA KITCHEN PART YA DA HUU WA LEO TENA HONGERA MAMA



ijumaa mwishoni mwa wiki iliopita  ilikuwa kitchen part ya mfanyakazi mwenzetu Dah Huu ambapo tulijumuika kwa pamoja kumfunda na kumtakia safari njema ya hukooo aendako katika maisha mapya ya ndoa.
hapa pambana kuangalia pic na mishono ya mavazi wanakwambia mwanamke tenge babuuuuuu.