Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, October 25, 2012

SIMOLO KATONDI/ DANS MAISHA - ENJOY NA EID NJEMA



HAYA WAPENDWA NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA EID HADJI KWA NA WEEKEND NJEMA INSHALAH NEXT WEEK J 3 TUTAONANA  NGOMA NINAYO KUACHA NAYO NI YA KIJANA ANAEISHI PARIS MWENYE ASILI YA KONGO ANAKUAMBIA MAISHA MUITE SIMOLO KATONDI.

NAIBU WA ZIRI WA ELIMU AKIRI KUFANYA MAKOSA NA KUSEMA ALITELEZA ULIMI .

 ‘MAKOSA’ YA WAZIRI MULUGO NI YA BAHATI MBAYA AU UFAHAMU MDOGO?
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo akiendelea kuwasilisha hotuba yake.
Naibu waziri wa Elimu amekiri kuwa amekosea na aliteleza ulimi kwasababu aliekuwa ametoka kuhutubia ni kiongozi wa Zimbabwe basi ni kwa bahati mbaya na hakumaanisha kabisa kusema hayo aliteleza ulimi tu Mwisho wa kunukuu

POZI NA BAADHI YA WANAMUZIKI AMBAO NIMEWAHI KUTANA NAO NA KUZUNGUMZA NAO MAMBO MBALI MBALI YA KIMUZIKI

PICHA TOFAUTI TOFAUTI SEHEMU TOFAUTI NIKIWA NA BAADHI YA WANAMUZIKI AMBAO NIMEWAHI KUTANA NAO NA KUZUNGUMZA NAO LEO NIMEWAKUMBUKA TU NA NINAZIPENDA KAZI ZAO PIA.

HAPO NIKO NA JEAN PIERE NYIMBONA AKA KIDUM KIBIDO TOKA BURUNDI ILA ANAISHI KENYA NI MMOJA YA WANAMUZIKI KUTOKA KAMPUNI YANGU YA SK ENTERTAINMENT ILIOANZISHWA MWAKA 2005. NA HAPO TULIKUW AKATIKA MSIBA WA KANUMBA KIDUM ALIACHA KAZI ZAKE ZOTE TOKA NAIROI AKAJA JUMUIKA NA WATANZANIA KATIKA MSIBA HUO MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU STIVIN KANUMBA MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

JUU NI MIE NA ABOUBAKAR BOZI BOZIANA NIKIWA NA AGAPE MSUMARI MWENYE NGUO YENYE BLUE  NA PRODUCER WANGU @ THAT TYM JOICE KIRIA MWENYE BLACK BINTI MWENYE AFRO NI MUIMBAJI WA BOZII

LUDA CRISS ALIPOKUJA TANZANIA NYUMA PALE BASI NA MIE SIKUWA MBALI KIKAZI ZAIDI LOL

BOZI BOZI ANA AKINITENGEZEA JIGLE ZA AFRIKA BAMBA TAA WAKATI HUO

NAJUA WENGI AU BAADI YETU TUNAKUMBUKA WIMBO WA WIFIZANGU MNA MAMBO MAMBO YENU YA AJABU.... EEH KAMA HUKUMBUKI BASI MAREHEMU MANETI WAMKUMBUKA?? PICHANI NI KIDA WAZIRI MKE WA MAREHEMU MANETI YEYE KWA SASA ANAISHI ARUSHA BADO ANAFANYA MUZIKI.

KUNDI LA VIJANA WANAONIVUTIA THT PIA DAH  I LOVE THEM SANA


NIKIWA NA FERRE GOLA NA BENI KINYAIYA HAPO NILIKUWA MC WA SHOW YA FERRE
 WITH FALLY IPUPA DE CAP BAADA YA MAHOJIANO YANGU NA YAKE KATIKA SHOW YA MAMA LAND.
 ALEN MAPIGO MMOJA WA MAPRODUCER WAKUTUMAINIWA KATIKA MUZIKI WA DANCE.
 MIE NA DEFAO, NYOSHI NA MULE MULE FBI


 BASI KOFII OLOMIDE KAFURAHIIIII

 NILIWAHI PIA KUKUTANA LIVE NA KUFANYA NAE MAHOJIANO MDOGO WAKE DEFAO AMBAE ALIKUWA AKIFANYA KAZI KATIKA KUNDI LA QUARTELATIN LA KWAKWE MOPAO MUITE MONTANA KAMENGA.
 MWANAMUZIKI FROM KONGO ADOLPH DOMINGEZI BAADA YA MAHOJIANO YANGU NA YEYE AAAH .....
 MIE NA LE GRAND MOPAO. SARCOZII, QUADRA KORA MAN, PAPA FOLOLO, KOFII OLOMIDE AAAH NIKIONGEA NAE KATIKA BAMBATAA NYUMA PALE NI BIG BOSS JOSEPH KUSAGA AKIFUATILIA MAHOJIANO HAYO.
 HAPANA CHEZEA BIBI NA MJUKUU WAKE BI KIDUDE LOL MIE PENDA SANA YEYE

MTU NA MANAGER WAKE MIE NA KIDUM KATIKA TAMASHA LA FIESTA ARUSHA HAPO BAADA YA KUJADILI MENGI KUHUSU SK ENTERTAINMENT.

PICHANI NIKIWA NA MAMA MBILIA BELL EEH MAMA MCHESHI SANA NA MWENYE UPENDO DAH NILIJIFUNZA MENGI TOKA KWAKE ALIPOTEMBELEA KIPINDI CHANGU WAKATI HUOO BAMBATAA

NYUMBA YA KATIBU WA BAKWATA YASHAMBULIWA KWA BOMU NA KUJERUHIWA VIBAYA SANA

Katibu wa BAKWATA mkoani Arusha bwana AbdulKarim Jonjo usiku wa kuamkia leo amelipuliwa kwa bomu nyumbani kwake eneo la Esso jijini Arusha. na yadaiwa kuwa hali yake ni mbaya ambapo amelazwa katika hospitali ya Mount Meru.

Wednesday, October 24, 2012

Mlipuko katika kampuni ya silaha Sudan


Kiwanda cha silaha kilicholipuka Sudan
Kumetokea mlipuko mkubwa katika kampuni ya kutengeneza silaha katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum.
Mlipuko huo ulisababisha moto mkubwa na milipuko zaidi ilifuatia wakati wazima moto walifika kujaribu kuudhibiti moto huo, uliozuka kutoka kampuni hiyo ya Yarmouk .
Gaavana wa eneo hilo (Abdul Rahman Al-Khider Rahman) amesema watu kadha wamepelekwa hospitalini baada ya kuvuta moshi lakini hakuna aliyefariki.
Amesema kuwa mlipuko wa kwanza ulitokea katika hifadhi ya silaha na bado chanzo chake kinachunguzwa. Vifaa vingi vya kijeshi viko karibu na kampuni hiyo.

kwahisani ya BBC swahili

3 mbaroni kwa kujaribu kumpa sumu Rais wa Benin

Maafisa wa Benin wamemtia nguvuni mpwa na daktari wa Rais Boni Yayi wa nchi hiyo wakidai kuwa watu hao walijaribu kumpa sumu Rais Yayi kwa kuamuriwa na mfanyabishara mmoja aliyekuwa na ghadhabu. Dakta Ibrahim Mama Cisse, Zouberath Kora mpwaye Rais Boni Yayi wa Benin pamoja na Saoumanou Moudjaidou waziri wa zamani wa biashara wa nchi hiyo walitiwa mbaroni Jumapili wiki hii huku mshukiwa mkuu wa genge hilo Patrice Talon akiripotiwa kutoroka. Kwa mujibu wa Mwendesha mashtaka wa serikali upande wa mashtaka umesema watu hao wanapasa kushtakiwa kwa kosa la kujaribu kuua. Jaribio hilo la kutaka kumuua Rais wa Benin lilifanywa tarehe 17 mwezi huu wakati rais huyo alipokuwa ziarani nchini Ubelgiji.

PLAN YANGU NI KUUNGANISHA NGUVU NA VIJANA WENZANGU NA KUFANIKISHA MALENGO YAO KIMAWAZO NAAMINI INAWEZEKANA

@VijanaNguvu kazi ya taifa tuanze sasa DM me kwa twetter in box me on FB call me if you can and let's be together nipe maoni yako unataka nikupe suport gani katika kufikia unayo tamani si kifedha KIMAWAZO na KIUSHAURI I will be there for you.
  • Aboubakar Sadik Aaaah!kifedha mbona umeitoa?
  • Sophie Kessy Aboubakar Sadik ni vyema nikawa muwazi mapema kifedha bado sikomakini kumuwezesha kila mmoja ila kimawazo na kiushauri tukikaa pamoja vijana linawezekana bila garama yeoyote na pale inapo bidi fedha basi tutashauriana na vijana wenzangu tufanye nini tuende wapi kuzipata ili basi tukamilishe ndoto zetu.
  • Sophie Kessy Naomba pia niseme ushauri huu tutakao peana uwe ni wa kutafuta Maisha tutafute kupata maendeleo tufanikishe ndoto zetu usiniombe ushauri wa kutafuta mke au mume au mchumba au mpenzi utakuwa nje ya uwezo wangu lol ha ha ha.
  • Christopher Philemon · 4 mutual friends
    Hilo lamsingi,ila wewe mwenyewe unajiusisha na nini?Mimi niko tayari kujadiliana na wewe na kuanzisha organization yetu ya vijana kusaidiana.
  • Jeremiah Oscar Nahitaji kuwa na wewe inbox lakin nashindwa nahitaj msada wako dada
  • Sophie Kessy Cristopher philemon hilo ni jambo zuri mie ni Mfanya biashara mmiliki wa Sk entertainment ambayo ina husika na maswala ya burudani kwa napia ni mfanya biashara lakini pia ni muajiriwa wa Clouds media group still sijakamilisha ndoto zangu nahitaji kujiunga na vijana kama wewe wanaotaka kufika mbali na kukamilisha ndoto zao kwa pamoja kama vijana kila kitu kinawezekana
  • Sophie Kessy Haya Jeremiah accept nimeku add unaweza ni inbox kwa sasa
  • Christopher Philemon · 4 mutual friends
    Sawa Sophia,je unafikilia tunaweza kuuungana na vijana wengine kw anjia hiPI?Je tunaweza kukutana au kufanya mawasiliano kwa njia hipi ikiwa out of fb?
  • Sophie Kessy Inawezekana kila kitu ni kuamua tukianza hapa na kisha kuambiana tukakutana na kupanga mengine kumbuka hata wewe na mie tumeanza hapa na inawezekana tukafikia mbali kumbuka Fb imekuwa kiunganishi kwa wengi sana . Kila jambo linawezekana ni kuamua vijana tukutane wapi na kisha tujadili yanayo tuhusu
  • Christopher Philemon · 4 mutual friends
    Oky,je mpaka sasa nivijana wangapi wako tayari kuungana na sisi?
  • Sophie Kessy Kwa sasa cristoper ngoja niwajibu sms zao then nitarejea kwako kukupa matokeo ni wangapi watakuwa tayari and we can do something kwa vijana
  • Christopher Philemon · 4 mutual friends
    Oky ,hatakama hujapata vijana wengine,tukae chini sisi tuanzishe then wengine watafuta.Ila mini ninaishi Nje ya Dr es salaam na email yangu cmpuzu@gmail.com
  • Rehema Chonko Sophie ww ni mfano wa kuigwa nikikulinganisha na watu wengine wanaojulikana, wenyewe ni kuuliza wkend wp guyz, ooh jana nilikula sana !....una moyo haijalishi unachokifanya kitafakiwa au lah ila umeshaonyesha nia! Kwangu mm BIG UP!
  • Sophie Kessy asante sana Rehema Chonko nashukuru kwa kuliona hilo kikubw ani tuwe pamoja daima ku suport wenzetu haya maisha ya sasa si yakuwaza bata all the tyme kuna kesho uzee nao unakuja si unajua fainali uzeeni ha ha ha lv you
Nashukuru vijana wenzangu kwa kuniamini nimepata in box zenu zote ninaahidi kuzijibu Mmoja baada ya mwingine na nina amini kwa mwendo huu wa dakika cheche jumbe nilizo pokea ni dhahiri kwamba vijana tuna Moyo wa kujituma na tuna nia ya kufanikisha malengo yetu kikuwa ni kuwa pamoja tushauriane tusikilizane na tukosowane pale tunapokosea ili kufika mbali zaidi nawapenda wooote .

Tuesday, October 23, 2012

Utapeli Makanisani kwa jina la Mungu Ni hatari hii imetokea Kenya

Pale wachungaji wanapo amua kujinufaisha wakilitumia vibaya jina la MUNGU fuatilia kwa umakini  mkasa wa ESTER MWENDE ambae anatumikia wachungaji badala ya MUNGU ambapo hulipwa kushuhudia uongo kanisani  mbele ya waumini  na kisha kulipwa shilingi elfu 2 mpaka elfu 10 za Kenya. fuatilia na utafakari.



kazi hii imefanywa na mwandishi mahiri kutoka kenya ambae amekuwa akivuka mipaka na kuweka wazi yale ambayo hayajafichuliwa hongera sana kaka MOHAMED ALLY WA JICHO PEVU . inawezekana pia na hapa kwetu ipo labda haijafuatiliwa tu stay tune nitakuletea mazuri zaidi ukiw ana wazo lolote maoni usiogope niandikia hapo hapo.
Utapeli kwa jina la Mungu Pt. 2

A kiss to seal the deal! hii wedding imenigusa fuatilia ka video hako uone







 katika harakati zangu zakusoma blog mbali mbali nikakutana na hii ya wedding ya Lola & Wale’s Wedding ikanivutia tu kuanzia uandaaji na namna ilivyo kuwa hebu na wewe fuatilia