Japokua anadai alikua mwanachama wa FREEMASONS, Samwel alikua anajihusisha na biashara ya dawa za kulevya pia na amekiri kufanya biashara hiyo na baadhi ya viongozi wakubwa wa dini wa Tanzania na hata kukaa nao meza moja, hiyo alama kwenye sikio lake la kulia anasema waliwekewa kwa makusudi ili iwe rahisi kutambulika popote atakapotokea, yani ukimuona tu unajua huyu anauza hizo dawa za kulevya.
Hii ndio anasema ni alama kubwa aliyopigwa katika mgu wake wa kushoto kumtambulisha kwamba ni mwanachama wa FREEMASON, ni alama kama muhuri, iliyoambatana na KIAPO ambapo popote atakapokwenda atatambulika, amesema kwa sasa ndio inamsumbua sana kwa sababu chuma kilichotumika kumuwekea kimevunja mfupa, na hii aliifanya huko Afrika Kusini.
Samwel anasema amewahi kwenda kwenye kanisa la FREEMASON hapa Dar es salaam Posta mara moja tu na kukutana na watu kadhaa maarufu wabongo ambao jumatatu ya march 19 2012 (kesho) kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM atawaongelea.
Samwel ametoa ushuhuda wake mwingine wa kuwepo kwenye hiyo dini ya kishetani kwenye NJIA PANDA ya CLOUDS FM, stori zaidi inakuja.
PICHA NA HABARI YOOTE KWA HISANI YA MILLARD AYO WA AMPLIFAYA.
Kubwa kuliko hii!!!
ReplyDeletendio huyo kama uonavyo katika picha
ReplyDelete