Monday, April 30, 2012

TAARIFA TOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA.

 
Mamlaka ya Hali ya Hewa yatahadharisha Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi, Mtwara Tanga, Morogoro , Pwani na Visiwa vya Unguja na Pemba Kukumbwa na Mvua Kubwa kwa saa 24 kila Siku, kuanzia April 30 hadi Mei 04.

No comments:

Post a Comment