MWIMBAJI BEYONCE AMBAE KWA KIPINDI HIKI BAADA YA KUJIFUNGUA AMEKUWA AJITAHIDI KUWEKA MAISHA YAKE BINAFSI MBALI NA VYOMBO VYA HABARI AMEFUNGUA TOVUTI YAKE BINAFSI AMBAYO MIMI NIMEONA IMEJAZA PICHA ZAKE AKILA BATA NA WATU WAKE WA KARIBU.. PICHA AMBAZO ZILIKUWA HAZIJAONEKANA KWA MITANDAO MINGI... KUTIA UKURASA WAKE WA TWITTER AMBAO ANAFOLLOWERS KIBAO ALIANDIKA UJUMBE ULIOWATAKA WATU KUTEMBELEA TOVUTI YAKE HIYO.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZINAZOPATIKANA KATIKA WEBSITE YAKE HIYO INAYOITWA www.beyonce.com |
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZINAZOPATIKANA KATIKA WEBSITE YAKE HIYO INAYOITWA www.beyonce.com |
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZINAZOPATIKANA KATIKA WEBSITE YAKE HIYO INAYOITWA www.beyonce.com |
No comments:
Post a Comment