Big Brother StarGame got off to a flying live launch Sunday, na tayari kuna ahadai za za kushangaza kila wakati ambapo mara baada ya kuingia katika jumba la BBA mtangazaji wa show hiyo IK alitangaza washiriki wa 4 wa BBA STARGAME kuwa Evected hata kabla hawaja settle.
IK alitangaza watanzania Hilda na Julio lakini pia wa wakilishi wa zimbabwe Teclar na Menata kwamba were up for possible eviction in one week, that is next Sunday.
watanzania na wa Zimbabwe hao walichaguliwa kuwa evected.
MZimbabwe Maneta alipata mshtuko baada ya kusikia IK akitaja jina lake, kwa upande wa watanzania washiriki toka hapa Bongo kwao ilikuwani habari mbaya kwautaratibu na upole walistuka na kuona kama wameonewa wakisema kuwa "si haki ndio kwanza tumeingia katika jumba"!
Per ya waliopigiwa kura ya kutoka endapo watapigiwa kura chache watatolewa katika gem hiyo siku ya jumapili.
so kwa wabongo hebu sasa tuwapigie kura watanzania wenzetu namna ya kupiga kura ni hiyo hapo chini unatuma ujumbe
SMS VOTE: if u r voting from Tznia send Vote Hilda to 15726 or Julio to 15726 (Voda,Tigo,Zantel)
all the best guys.

No comments:
Post a Comment