African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Friday, May 4, 2012
Mwanamuziki wa Bongo fleva Shetta afunga pingu za maisha asubuhi hii ya leo May 4
Mwanamuziki Shetta alithibitisha hilo mapema leo kwa kuuambia mtandao wa Bongo5 asubuhi hii kuhusu furaha aliyokua nayo baada ya kufanikisha zoezi la kumuoa mamsup wake Leila.
No comments:
Post a Comment