Mwanamuziki Mpela Alain na timu yake hivi karibuni walipiga kambi kuanzia 29 March mpaka 2 April 2013 katika jombo la Kananga ambapo waliweza kufanya show tatu matata sana .
mgongwe huyo Alain Mpela Afande muimbaji wa zamani mmoja wa wanahisa wa kundi la muziki la Wenge BCBG ambae kwa sasa pia ni kiongozi wa bendi ya orchestra "Generation A" ameendelea kufanya vizuri huku akiwaomba washabiki wake kuendelea kumpa moyo ili aweze kurejesha taswira yake na kuendelea kufanya vizuri katika taaluma yake.