KWA UFUPI KUHUSU HADHITHI HUSIKA KATIKA MOVIE,
wasichana wamakamo warembo na wenye upeo mzuri sana ambao wameishi kwa muda mrefu maisha yao ya kigeto geto . kwa kuwa wameyachoka baada ya kukaa kwa muda mrefu wanaamua kuwa house girls kwenye familia za kitajiri .lengo lao hasa likiwa ni kuwa matajiri kwa haraka au wafe wakiwa wanajaribu kutajirika sasa fuatilia zaidi movie hiyo uone moto wake hakika wameicheza viziri na wamejipanga .
No comments:
Post a Comment