 Nyota wa timu ya Barcelona na 
Argentina Lionel Messi anakabiliwa na mashtaka ya ukwepaji wa kodi,hii 
ni kwa mujibu wa jaji mmoja wa Uhispania.
Nyota wa timu ya Barcelona na 
Argentina Lionel Messi anakabiliwa na mashtaka ya ukwepaji wa kodi,hii 
ni kwa mujibu wa jaji mmoja wa Uhispania.Messi na babaake Jorge wanashtakiwa kwa kuiibia mamlaka ya taifa hilo zaidi ya yuro millioni 4.
Wote wamekana kufanya makosa hayo yalioanza mwaka 2007.
No comments:
Post a Comment