DIAMOND PLATNUMZ AMETAJWA KWENYE ORODHA YA WASANII KUMI WA AFRICA WALIOFANYA MABADILIKO
                   Mkali wa Ngoma ya "Mdogo Mdogo" Diamond Platnumz 
ametajwa kwenye Orodha ya wasanii Kumi Afrika waliofanya Mabadiliko 
(Top10 Most Game Changers).
2.Boom Shaka
3.D banj & Don Jazzy
4.K'naan -
5.Banky W & Psquare
6.Dj Jimmyyat & Dj Waxxy
7.Tiwa savage & Wizkid ayo
8.Ice Prince - Nigeria & Naetoc
9.Mafikizoro & Mr. Flavour
10.Diamond Platnumz & Fally Ipupa
            
Orodha hiyo imetolewa week hii kwenye Kipindi cha Top10 Most 
kinachoendeshwa na Joketi Mwengelo na Ice Prince kutoka Nigeria, Diamond
 Platnumz ameshikilia namba 10 pamoja na Fally Ipupa. Hii ndio List 
nzima 
1. 2face Idiba 2.Boom Shaka
3.D banj & Don Jazzy
4.K'naan -
5.Banky W & Psquare
6.Dj Jimmyyat & Dj Waxxy
7.Tiwa savage & Wizkid ayo
8.Ice Prince - Nigeria & Naetoc
9.Mafikizoro & Mr. Flavour
10.Diamond Platnumz & Fally Ipupa

No comments:
Post a Comment