USIKOSE
 KUITAZAMA CLOUDS 360 WIKI IJAYO  KWENYE JE WAJUA UWEZE KUJUA KUHUSU 
MAGARI YA KISASA KABISA YENYE UWEZO WA KUPITA JUU YAMAJI KWA UMBALI WA 
MAIL 500 NI MABASI YA KISASA YATAKAYO SAIDIA KUONDOKANA NA FOLENI 
TERRAWIND CARS.. USIKOSE HA HA HA HA !!! (Terra Wind Amphibious RV)
- Jackson Dissii Jaredi Mhhhhhh,,,,,, hii ni shiiiiiiiiida,,
 Junior Beezyone · 19 mutual friends
 Hii ni zaidi ya kujua kwakweli...em ngoja naona kihere here kinaanza kunijia mapema..maza ni mpenzi wa je wajua yaaani asubuhi na mapema sana yuko kideoni niweekeeni 360.



No comments:
Post a Comment