African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Tunapatikana Sinza kwa Remmy
Thursday, May 28, 2015
UEFA YAITAKA FIFA KUHAIRISHA UCHAGUZI WA VIONGOZI.
Baada ya jana kushuhudia baadhi ya maofisa wa FIFA wakitiwa nguvuni kwa
kile kinachodaia kujihusisha na rushwa katika michuano ya kombe la
dunia,Shrikisho la soka Barani Ulaya UEFA limeitaka FIFA kuhairisha
uchaguzi wa Shirikisho hilo kwa siku ya kesho kutokana na kashfa
iliyotokea hapo jana.
No comments:
Post a Comment