MLIPUKO WA MOTO WAUWA 96 ACCRAA GHANA 
 Mlipuko wa moto katika kituo cha mafuta, Accra  Ghana umeua watu 96 na uchunguzi zaidi unaendelea.
Mlipuko wa moto katika kituo cha mafuta, Accra  Ghana umeua watu 96 na uchunguzi zaidi unaendelea. 
Polisi
 wamezungushia uzio eneo hilo kwa sababu za usalama zaidi na kuchunguza 
idadi kamili ya watu waliopata madhara kutokana na mlipuko huo wa moto 
na kubaini chanzo chake
Hata hivyo mlipuko huo uliotokea baada ya mvua 
kubwa iliyosababisha mafuriko ya maji katika maeneo mengi ya mji wa 
Accra.
 Baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na kukatika kwa 
umeme,baadhi ya barabara hazipitiki kutokana na mafuriko hay
 
Baadhi ya maeneo hayana umeme kutokana na kukatika kwa 
umeme,baadhi ya barabara hazipitiki kutokana na mafuriko hay 
 
No comments:
Post a Comment