Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, April 27, 2012

MSAADA TUTANI.




JAMANI NAWATAFUTA WALE WALIO TAFSIRI MOVIE ZA KIZUNGU AU KIHINDI KWA KISWAHILI ZILE ZINAZOPENDWA SANA MITAANI KWETU SI UNAZIJUA EEH, WANATAFSIRI HIVI..(" akamwambia ... nitakuuwa aaah usiniuwe tafadhali mara mjomba yake akaja" ...haa no way ) NI KAMA ZA KINA RAMBO NA WENGINEO NAHITAJI KUZUNGUMZA NA WAHUSIKA WALIFIKIRIA NINI MPKA KUZIWEKA KWENYE KISWAHILI, HUWA NACHEKA SANA NAPOZIONA NA KUSIKIA TAFSIRI YAO IT'S VERRY INTERESTING JAMANI DAH NAOMBA MWENYE NAMBA AU MAJINA YAO NA WANAOFAHAMU WALIPO PLZ I REALY NEED HELP NIONGEE NAO KWA KIREFU KUHUSU UBUNIFU WAO.

Wednesday, April 25, 2012

MUIMBAJI FELIS MWAMBALO MUBIBYA AINGIA MKATABA NA KAMPUNI YA KUANDAA NA KUSAMBAZA MUZIKI NCHINI MAREKANI.



Muimbaji mwenye vipaji mbalimbali Felis Mwambalo Mubibya ameingia mkataba na kiwanda au kampuni ya kuandaa, kutangaza na kusambaza mziki iitwayo Tate Music Group (TMG) ipatikanayo Mustang,
Oklahoma, katika Jamuhuri ya Muungano wa Kimarekani.
                                                Felis Mubibya Akiwa Ameshika Mkataba.

TMG waliamua kuingia mkataba huu na muimbaji Felis, baada ya kuupenda mziki toka kwenye a lbamu yake mpya i i twayo Jipe Moyo/Take Heart. Kazi hii ilirekodiwa na Fnouk Music Studios ya Arusha, Tanzania, East Africa na kukamilishwa au kufanyiwa mastering na Audio Recording Studio (ARS) ya Homewood, Illinois, USA. Albamu hii ambayo imekaribia steji yakuwa hewani na madukani katika kampuni hiyo inayo m’miliki muimbaji Felis TMG, na kutazamia kuzinduwa albamu hii katika tamasha kabambe itakayofanyika katikati ya mwezi Julai katika mji wa Crown Point, Indiana, Marekani. Felis anasadikika kuwa muimbaji wa kwanza wa nyimbo za Injili kutoka


Afrika mashariki na kati kuingia mkataba na TMG. Felis ni mwenyeji wa jamhuri yaki Democrasia ya Congo, mwenye nia yakufikia mataifa kupitia uimbaji wa nyimbo za Injili. Akifuata wito wa Roho Mtakatifu, aliondoka nyumbani kwao katika mji wake wakuzaliwa Bukavu, nchini Congo. Alianza safari yake huku
akihudumu katika nchi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Rwanda, Burundi, Uganda, na Kenya
kabla yakufanya makazi mkoani Arusha, nchini Tanzania. Jipe Moyo, ni album ya tatu (3)
yake Felis baada ya kazi yake ya kwanza iliyojulikana kama, Yuko Njiani, iliyotolewa Arusha
2006, na Yesu ni Mungu, iliyotolewa 2008.

Jipe Moyo imebeba mchanganyiko wa midundo maalum “unique blend” kutoka katika
utamaduni wa Congo na Africa Mashariki. Kwa ajili ya kufikisha Habari Njema na ujumbe
muhimu na wenye thamani, unaofariji na kuleta tumaini, pia ujumbe huu ni kwa watu wa
makabila na tamaduni zote popote duniani.

Felis alikuwa na hili lakusema :
“Jipe Moyo” ni ujumbe maalum Mungu anao sema na ulimwengu kwa sasa. Katika mambo
yote haya yanayoikumba dunia, watu wanakata tamaa, hawajui hata lakufanya au pakwenda.
Kama wewe pia unapitia hali yakukataliwa na nduguu jamaa na marafiki, au kukosa kazi na
kufukuzwa kazini, ugumu wa maisha au ugumu wakufikia malengo. Ujumbe wake Mungu
kwako leo ni huu, “Jipe Moyo!”
"Ulimwenguni mna dhiki, ila jipeni moyo; Nilishinda ulimwengu Yohana 16:3

BAADAYA UPASUAJI WA KUBADILI SURA MARA 100 WAREMBO WA BONGO TUJIFUNZE KATIKA HILI..............!!!


Huyu ni  ex-model Alicia Douvall. yadaiw akuwa kwa sasa hawezi kamwe kuishi maisha yake yote bila kufanyiwa  plastic surgeries . kwa mara ya kwaza alipofanyiwa upasuaji wa kujibadilisha sura ni wkati alipokuwa na umri wa miaka 15 tu.

na unaambiwa kuanzia wakati huo mpaka leo hii tayari ameshafanyiwa upasuaji mara 100  hebu fikiria leo hii anavyo onekana .!!


MWANZONI UTAPENDEZA NA KILA MTU ATAKUTAMANI ILA KIFUATACHO...........


mmmh sina comment hapa jamani nisaidieni nyie wadau wa that's it
WAKINA DADA WENGI BONGO NAO SIKUHIZI WAMEJITOSA KUFANYA UPASUAJI KUONGEZA MAZIWA JE MWAJUA MADHARA!!
MADHARA YA KUBADILISHAJI WA SURA, MIKOROGO NA VIPODOZI VYENYE KEMIKALI


HEBU JIFUNZE KITU KUTOKANA NA MREMBO HUYO KUBALI KUBADILIKA EPUKA KUIGA KILA UNACHOKIONA ACHA KUTUMIA @ KWASABABU UNAENDA NA WAKATI.

Onyo kwa ndugu zangu na marafiki mnaopenda kuiga jamani hii tuwaachie wenyewe hakuna kitu kizuri maishani kama kuwa Natural kuanzia ngozi ya mwili wako na hata kila kitu na si kujibadilisha, mimi naamini kuwa mwenyezi MUNGU alipokuumba alikuwa na makusudi fulani kukuumba jinsi ulivyo hakika nidhambi kubwa sana kuikosoa kazi yake MOLA jikubali, jiamini na jamii itakukubali hakuna binadamu mbaya duniani wote ni wazuri .

BY SOPHIA KESSY.

NUKUU YA LEO KUTOKA KWA KATIBU WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM ITIKADI NA UENEZI NAPE NNAUYE ..

Wabunge kujadili utendaji wa serikali yao ni haki na wajibu wao tena bila kujali itikadi zao! Upande wa pili ni muhimu serikali kuendelea kuwa wasikivu na kama mapungufu yaliyoibuliwa na wabunge ni ya kweli, serikali ichukue hatua bila kuchelewa, ili kunusuru matumizi mabovu ya rasilimali za nchi!!

ANGALIA GOLI ALILOFUNGA TORRES NA LIKAPELEKEA CHELSEA KUIVUA UBINGWA BARCELONA

CHEKI TORRES ALIVYOFANYA MAMBO HAPO NA KUWAPA CHELSEA USHINDI WA 3-2

Tuesday, April 24, 2012

DIAMOND PLATNUMS AAMUA KUMTANGAZA MPENZI WAKE MPYA, NDIO HUYU.

Hichi ndiocho alichokiandika DIAMOND kwenye BlackBerry Messenger ambapo kwa idhini yake mwenyewe nilimwambia nitaitumia.... Kulikua na stori kibao mtaani kwamba DIAMOND PLATNUMS yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na mrembo JOKATE lakini bado ilikua haijathibitika, sasa hivi ndio kaamua kuweka wazi.
Hii ilipatikana kwenye account zao za facebook siku kadhaa zilizopita na ilikua ni moja kati ya dalili kwamba wako pamoja.
.
Una chochote cha kusema kuhusu hii stori? kama ndio….. tupia comment yako, kama pia unapenda na washkaji zako waione bonyeza hiyo alama ya LIKE ya fB, pia unaweza kushare twitter..


HABARI HIZI NI KWA HISANI YA MILLAD AYO.

BAADA YA KUZUSHIWA KAFARIKI DUNIA, HIKI NDICHO ALICHOKIONGEA MWIGIZAJI SAJUKI.


Sajuki kabla ya kuumwa.
Baada ya stori kuenea kwamba Mwigizaji Juma Kilowoko maarufu kama SAJUKI amefariki dunia, amejitokeza mwenyewe na kuziamplfy hizo stori.

Sajuki amesema “mimi ni Sajuki ninaezungumza, unajua nikwambie siri moja, nilikaa nilifikiria, kwanza nilishituka sana mwenyewe japokua naona kama wananiongezea uhai, wanaiombea dua ya uhai”
Katika sentensi nyingine Sajuki amesema “unajua majuzi kati mke wangu Wastara alikua anawaambia watu juu ya kuumwa kwangu na namna gani tunavyohitaji watu watusaidie sasa pengine maadui wakaona kwamba watanzania wameshituka sana wameona watatusaidia, wenyewe ndio wakaamua kuchafua chafua vitu kama hivyo kwa hiyo ni habari za kizushi, mimi niko fesh tu hapa sasa hivi”
Amesema “niko kwenye mpango wa kufanya movie yangu mpya ambayo nitaingia location nitaisimamia, hata hizo habari zilipoanza kutoka nilikua kwenye maandalizi ya movie yangu.

Nikashtuka nikasema heee nimekufa niko location jamani hata watu niliokua nao wakawa wanashangaa, wakati ukifika utafika mwenyenzi Mungu akiamua kunichukua atanichukua, sawa mimi naumwa lakini sio kwenye hiyo hali ambayo watu wanaielezea, pamoja na kuumwa kwangu sasa hivi nipo kama Rambo napigana bado”


HABARI HII NI KWA HISANI YA MILLAD AYO.

HEBU TUANGALIE VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO JUMANNE APRIL 24

















Monday, April 23, 2012

HII NI MARA YA PILI KWA ELIZABETH MICHAEL ( LULU) KUPANDISHWA KIZIMBANI



Mahakama ya hakimu mkazi KISUTU jijini Dar es Salaam leo imeahirisha kesi ya tuhuma za mauaji inayomkabili ELIZABETH MICHAEL ‘LULU’ dhidi ya aliyekuwa mwana filamu mahiri Marehemu STEVEN KANUMBA.

Wakili wa Upande wa Serikali ELIZABETH KAGANDA akizungumza mahakamani hapo amedai Upepelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika na kwamba kesi hiyo itatajwa tena mei 7 mwaka huu.

Umati mkubwa ulijitokeza katika mahakama hiyo kwa lengo la kufuatilia mwenendo mzima wa kesi hiyo ambayo imevuta hisia za watu wengi hapa nchini.

Hii ni mara ya Pili kwa ELIZABETH MICHAEL kupandishwa Kizimbani kosa la mauaji ya mwana filamu huyo mnamo April 7 mwaka huu eneo la Sinza Vatican Jijini Dar es Salaam.
ASANTE CARTHBERT ANGELO KWA PICHA HIZI

NUKUU YA LEO BY MUBELWA BANDIO



Niamkapo huwa NAWAZA KWANINI NIMEAMSHWA / NIMEAMKA?
Ni ili nianze mpango mpya ama nimalize wa zamani?
Nikiweza kuipata / kuihisi sababu, naanza kutafakari namna ya kuitumiza.
Maishayo yaongozwe na sababu fulani.........PURPOSE DRIVEN LIFE.
Lakini kwanza, ITAMBUE SABABU HIYO, FAIDA NA UMUHIMU WAKE.

DUNIANI KUNA MAMBO .. MUNGU NA MIPANGO YAKE.LIVING WITH HALF OF A BODY



Living with Half of a Body

Peng Shuilin had half of his body amputated after being run over by a truck. But he never gave up! His recovery has amazed surgeons after almost two years undergoing a series of operations. The vice-president of the hospital where this 37-year old Chinese man has been treated said: “He is amazing and the only person in the world to survive having so much of his body amputated.” He’s doing well now and has opened his own bargain supermarket - called the Half Man-Half Price Store. That’s incredible. It seems nothing can get him down… Living with Half of a Body

Living with Half of a Body

Living with Half of a Body

Living with Half of a Body

Living with Half of a Body

Living with Half of a Body

Living with Half of a Body

Living with Half of a Body

Living with Half of a Body

JUMAPILI HII NILIPATA NAFASI YA KUTEMBELEA SHAMBA


Miongoni mwavitu ninavyo vipenda ni kujishuhulisha na vijikazi, huwa mara nyingi na pokuwa nyumbani sipendi kabisa kukaa tu nyumbani pasipo kufanya shuhuli yeoyote,

basi  kama kusafisha nyumba kufua au kupikapika basi nitakaa dukani kwangu na kuhudumia wateja wangu wnapokuja kununua nguo.


na kama sipo dukani basi lazima nitatoka na kwenda shamba ambako hujishuhulisha hata kama sina kazi ili mradi tu nifike na kuangalia hali ikoje, huwezi kuamini juma pili baada ya pilika pilika za hapa na pale basi  nikaona kama nimeboeka tu kukaa nyumbani  nikaamua kutoka kuelekea kwenye  kajishamba kangu huko kisarawe 2, ambapo nilipofika kama kawaida yangu nikaotesha miti kadhaa ili tu kuweka mazingira ya eneo hilo vizuri.


 Napenda sana sehemu yenye mazingira poa ikiwemo hali ya hewa so minaamini upandaji wa miti nilioufanya jana katika kajishamba kangu najua utanisaidia sana baadae hasa kupata kivuli pamoja na upepo mzuri. mwenyezimungu akinijalia uhai nikipanedeleza vyema .

hapa nilipita kununua miche ya miti ambayo ndio nilioipanda.

nikaiotesha vyema inavyotakiwa kwa kufuata maelekezo niliopewa



sikuwa pekeyangu na marafiki Dulla na mwenzake jina sikumbuki walikuwa na wao pia huko huko ni majirani zangu wakanisuport

baadae nikapita kusalimia Majirani na kuongea mawili matatu


nilifurahiswa na jinsi walivyokuwa wameotesha viazi vitamu.



Then wakati na rudi nikavutiwa na wingi wa farasi niliowaona pande za Dar Es Saalam Zoo nikaamua kuingia na kuwafuata nili enjoy sana

na nilijifuza machache kuhusu hawa farasi inapendeza kwakweli na kisha kama kawaida mpenda picha mimi nikapiga picha ya kumbukumbu.



Nikaondoka na kurejea zangu home kwa furaha baada ya kukamilisha azimio langu.