African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Tunapatikana Sinza kwa Remmy
Monday, April 23, 2012
NUKUU YA LEO BY MUBELWA BANDIO
Niamkapo huwa NAWAZA KWANINI NIMEAMSHWA / NIMEAMKA? Ni ili nianze mpango mpya ama nimalize wa zamani? Nikiweza kuipata / kuihisi sababu, naanza kutafakari namna ya kuitumiza. Maishayo yaongozwe na sababu fulani.........PURPOSE DRIVEN LIFE. Lakini kwanza, ITAMBUE SABABU HIYO, FAIDA NA UMUHIMU WAKE.
No comments:
Post a Comment