
TAARIFA zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, mbunge wa Jimbo la Arumeru kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Jeremia Sumari amefariki dunia leo.
Mbunge huyo alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa kipindi kirefu na wakati anakutwa na mauti leo alfajiri alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.
Jeremia Sumari ni mbunge wa pili kwa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania 
MWENYEZI MUNGU AMALAZE MAHALI PEMA PEPONI
 AMIN.
 
No comments:
Post a Comment