Soko la hisa la Dar es Salaam hapo jana lilifanya mauzo ya jumla ya shilingi milioni 65.23 kutoka katika hisa 79,644 .
Kaunta ya NMB ilikuwa na hisa 9,500 zilizouzwa kila moja kwa shilingi 850 .
Kaunta ya SIMBA ilikuwa na hisa 200 zilizouzwa kilammoja kwa shilingi
2,380.
Kaunta ya SWISSPORT ilikuw ana hisa 400 zilizouzwa kila mmoja kwa shilingi
1,000.
Kaunta ya twiga TWIGA ilikuwa na hisa 99 zilizouzwa kila mmoja kwa shilingi 2,200 .
Kaunta ya TBL ilikuwa na hisa 19,425 zilizouzwa kila mmoja kwa shilingi 2,600 .
Wakati kaunta ya CRDB ikiwa na hisa 50,020 Zilizouzwa kila mmoja kwa shilingi 150 .
Hivyo ndivyo ilivyo kuwa katika soko la hisa hii leo hapa jijini Dar es saalam.
YA
ReplyDelete