Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, April 30, 2012

BREAKING NEWS.....MBUNGE WA JIMBO LA SUMBAWANGA MJINI AVULIWA UBUNGE NA MAHAKAMA

aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal akiwa katika mazungumzo waziri mkuu Mizengo Pinda (kulia)


Aliyekuwa mbunge wa CCM jimbo la Sumbawanga Aeshi Hilla akiwa katika moja kati ya mikutano yake ya kampeni zilizompa ubunge ambao leo umekoma.

Mahakama imetengua ubunge wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kwa tiketi ya CCM Mhe. Aeshi Hillal hivyo kuanzia sasa jimbo hilo lipo wazi kwa ajili ya uchaguzi mwingine kama ilivyo kwa jimbo la Arusha mjini .

Habari kamili inakuja
 

No comments:

Post a Comment