Wakameruni wapatao zaidi ya 5,000 waishio nchini ujerumani wanatalajia kujimwaga ujirusha
na muziki wa dansi wa Ngoma Africa Band huko mjini Stuttgart,Ujerumani siku ya jumamosi
20 Mai 2012,katika sherehe mahalumu ya nchi yao "Cameruni Challenge" .
Kamati ya maandalizi ya jumuhia ya wakameruni nchini Ujerumani imetoa mwaliko kwa
bendi maarufu ya muziki wa dans barani ulaya Ngoma Africa band almaarufu FFU,kutumbuiza
katika sherehe hizo zitakazo fanyika mjini Stuttgart,nchini Ujerumani,ambako zitaudhuriwa na
wakameruni 5000 pamoja na wageni wa mataifa mbali mbali.
Mzimu huo wa dansi Ngoma Africa band aka FFU unatarajiwa kutoa burudani ya kuwapandisha
mzuka wadau wote watakao jimwaga uwanjani,
Ngoma Africa band sasa wanatamba na mpini wimbo mpya " Uhuru wa Habari" sikiliza at
www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment