kwa kweli mwaka huu 2012 birthday yangu nimeikuta naifanya tofauti kabisa na vile nilivyopanga nikutokana na muingiliano wa mambo a kazi kuw anyingi sana kiasi kwamba nikakosa muda muafaka wa kuparty lakini shukurani nyingi kwa marafiki , mashostito wangu Familia ndugu jamaa na wote waliofanikisha nikaenjoy kw avipindi vi 3 tofauti mniwie radhi coz picha nzuri zaidi zitakuja hapa hii nikatika kukupa dodosha walau ya kilichojiri baada ya kuombw ana washabiki niweke wazi mambo yalikuwaje.
hivi ndivyo ilivyo kuwa hii ni baada ya kutoka ofisini saa 3 usiku kaka zangu na marafiki wakaniandalia kajipart na chakula cha jioni kwa siku hiyo ya tarehe 15 tukaburudika hadi usiku wa mananemy brother Fredy ambe aliandaa shuhuli nzima
Rafiki yangu wa karibu Dataz ndie alie nifanyia keki hii
mie na mashost na mdogowangu Merry ambe nae hakuw ambali na mimi
mery kessy mdogo wangu akijionea vibweka
my shosti na d my Best friend Dataz
mie na shost
hapo kila mtu alikuw ana kajimeza kake thankx my bro freddy
siku ya bday yangu mchana nilikata keki na wafanya kazi wenzangu ilinoga sana namshukuru Mungu kwa nguvu na uweza wake
ma Moshi Habib Kimodo
zawadi hii ilitoka kw akaka yangu ambae aliiwakishisha shosti wangu Dataz was a nice keki
thank you kaka freddy keki ilikuw atamu balaa
zawadi toka kwa rafikiyangu ambae nilisoma nae Veta HAPPY ADAM thank you kwa kanga yenye maneno mazuri
raha mtindo mmoja ofisini
pacha akifanya mambo JK
salum mwinyi mkuu kijana ya zenji akinilisha keki
na staff wenzangu @ Clouds aka mjengoni
was realy nice i wont forget
nikimpa keki bosi wangu Joyce shebe
hapo wanaimba kata keki tuleeeeeee ha ha hah ha nawapenda sana
mie mwenyewe huyo weee
SIKU YA TATU BALOZI MFANYAKAZI MWENZANGU AKANITOA LUNCH COZ SIKU YA BIRTHDAY YANGU ALIKUWA BUSY SANA HAPA ALINIPELEKA DRAGON CHINISE HOTEL AAAH MIE KWA NUDOZ TENA lovely THANK YOU KAKA BALOZI .
pacha hakuwa mbali na mie lv you pacha JK
mie na kaka Balozi thank you bro nili enjoy the lunch was so delicious
mwenyewe najisomea MENU akuu
BaloJIIIIIIII
niliandaliwa meza aaah thank you Chinise
ikawa mmmm
mie na pacha sasa
keki kwisha habari yake imekatwajeeee
na kakangaz mwanamke kangaz
na kaka shafii Dauda
na salum mwinyi mkuu
luambano weeee
ilikuw akazi kweli kweli
abel onesmo mwanahabari mwnzangu
na mdogo wangu James
na mdogo wangu Qusa
pacha weeeeeeeeeeeeeeee
ikawa
hiiiiiii
MM
No comments:
Post a Comment