African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Tunapatikana Sinza kwa Remmy
Sunday, October 12, 2014
DOLA BILIONI 4 ZAHITAJIKA KUIJENGA GAZA MPYA MKUTANO WA KUIKARABATI WAANZA MJINI CAIRO
Wafadhili wamekusanyika mjini Cairo, Misri ili kujadili misaada
inayohitajika kwa ajili ya kukarabati Ukanda wa Gaza ulioharibiwa katika
mashambulizi ya hivi karibuni kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesema kuwa dola bilioni 4
zinahitajika kwa ajili ya kujenga tena Ukanda wa Gaza.
No comments:
Post a Comment