 Wafadhili wamekusanyika mjini Cairo, Misri ili kujadili misaada 
inayohitajika kwa ajili ya kukarabati Ukanda wa Gaza ulioharibiwa katika
 mashambulizi ya hivi karibuni kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Wafadhili wamekusanyika mjini Cairo, Misri ili kujadili misaada 
inayohitajika kwa ajili ya kukarabati Ukanda wa Gaza ulioharibiwa katika
 mashambulizi ya hivi karibuni kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel.Mamlaka ya Ndani ya Palestina imesema kuwa dola bilioni 4 zinahitajika kwa ajili ya kujenga tena Ukanda wa Gaza.
 
No comments:
Post a Comment