 Mmoja wa wazee wanaoishi kwenye kambi hiyo Simon Maganga 
amesema hayo wakati wakikabidhi choo, na magodoro kutoka asasi ya eazy 
flex amesema kuwa hapo awali walikuwa wanalazimika kujisaidia vichakani 
kutokana na choo kuwa mbali na makazi yao .

Makabidhiano hayo yaliudhuliwa na meya wa manispaa ya shinyanga Gulam Hafidhi ambapo ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kuwasaidia watu wenye mahitaji maalum na si kuziachia asasi za kiraia.
Kituo cha kolandoto kina jumla ya wazee 60 ambao wanaishi kwenye kambi hiyo huku wakikabiliwa na changamoto ya makazi na kulazimika kuishi kwenye nyumba mbovu.
 
No comments:
Post a Comment