African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Tunapatikana Sinza kwa Remmy
Tuesday, June 2, 2015
ANDY MURRY KUJIFUA KUMKABILI JEREMY CHARDY.
Mchezaji namba moja wa tenisi nchini Uingereza, Andy Murry
amejipa changamoto ya kuongeza kiwango chake cha uchezaji wakati
atakapopambana na Mfaransa Jeremy Chardy kuwania kufuzu hatua ya robo
fainali ya mashindano ya French Open Jumatatu.
Mwingereza huyo nambari tatu kwa ubora dunianianapambana na mchezaji namba 45 kwa ubora.
Wachezaji hao wamekutana mara saba, na Murray kushinda mara sita ukiwemo mchezo wa uwanja wa udongo mjini Roma, Italia Mei 13.Murray anaingia katika mchezo huo akiwa na rekodi ya kutofungwa michezo 13 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment