MAKUBWA HAYA ..... SHEREHE ZA ULAJI NYAMA YA MBWA CHINA
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhBGHxWeESBy8ap68XuAykCPqLkgS8_lZuPToBduomyOvYnWoMLAk-LCkzw8PIZeQ1a6CL0XEBd9w3kpy1V-aiLSk4JKJzcpw0y6aWUy0-2F038sBNLfKH0ucjs4i8XqI0CeOn4RDD5wtWe/s280/024744-4f17fd2a-154d-11e5-8cab-50fca574effe.jpg)
Sherehe ya kula nyama ya mbwa kusini magharibi mwa China imeanza huku
kukiwa na pingamizi miongoni mwa wanaharakati wa haki za wanyama.
Takriban mbwa 10,000 watachinjwa na nyama yao kuliwa katika sherehe hizo
zitakazofanyika katika eneo la Yulin mkoa wa Guangxi siku ya jumapili
na jumatatu ili kuadhimisha kuanza kwa msimu wa joto kulingana na vyombo
vya habari vya kitaifa.
No comments:
Post a Comment