Hatimae  mlinda mlamngo wa club ya Borussia Dotmund na timu
ya taifa ya Ujerumani Mats Hummels afunga pingu za maisha na mpenzi wake wa sikunyingi  Cathy Fischer  mjini Munich mapema jana jumatatu 
Mlinzi wa Borussia Dortmund na timu
ya taifa ya Ujerumani Mats Hummels amefunga ndoa na mpenzi wake wa zamani Cathy
Fischer siku ya jumatatu jijini Munich.
Mshindi huyo wa kombe la dunia, nyota
huyo anaehusishwa kujiunga na Manchester United , Hummels mwenye umri wa miaka
26 alisindikizwa na kaka yake Jonas kwenye harusi hiyo.
Taarifa toka nchini Ujerumani
zinadai Hummels na Fischer walianza uhusiano tangu wakiwa na umri wa miaka 19. 
No comments:
Post a Comment