Club  ya Arsenal hatimae imefanya uzinduzi wa jezi mpya mapema jana  kwa msimu wa  mwaka  2015-16 , kwa msaada mkubwa kabisa wa  Mc  au mshereheshaji wa shuhuli hizo Thierry Henry katika uwanja wa Emirates 
Stadium.
uzinduzi huo ulifanyika jana usiku na baadhi ya wachezaji wakisimama kama model wa maonyesho ya jezi hizo.
Welbeck, akizungumza na mmoja wa  legend wa arsenal Thierry Henry na kusema kuwa katika jezi hiyo inamuwezesha kupumua vizuri akiwa uwanjani.
wachezaji  wa  Arsenalkatika pozi ndani ya uwanja  wakionyesha uzi mpya wa arsenal 
kilichojiri nje ya  Emirates Stadium jana usiku  
Welbeck, ambae alisajiliwa kwa  £16million kutoka  Manchester United akiwa katika pozi pia
Henry 
No comments:
Post a Comment