 kama umeikosa hii hatimae  wawili hao wapendanao  wavunja ukimya na kuamua na kufanya tradition wedding huko nchini zimbabwe
kama umeikosa hii hatimae  wawili hao wapendanao  wavunja ukimya na kuamua na kufanya tradition wedding huko nchini zimbabwe 
cople iliaodaiwa kutikisa vizuri  Pokello Nare & Elikem Kumordzie, A.K.A Polikem ndio wapenzi waliokutana ndani ya jumba la e Big Brother Africa na mwisho wasiku wamefikia kile wengi walichokitaka kuwa yes I DO......
No comments:
Post a Comment