kama umeikosa hii hatimae wawili hao wapendanao wavunja ukimya na kuamua na kufanya tradition wedding huko nchini zimbabwe
cople iliaodaiwa kutikisa vizuri Pokello Nare & Elikem Kumordzie, A.K.A Polikem ndio wapenzi waliokutana ndani ya jumba la e Big Brother Africa na mwisho wasiku wamefikia kile wengi walichokitaka kuwa yes I DO......
No comments:
Post a Comment