‘MAPACHA WATATU’ KUZINDUA ALBAM YARABI NAFSI
Waimbaji wa bendi ya Mapacha wa tatu Khalidi Chokolaa (kushoto) na Jose Mara wakiwa wameshika CD ya albam yao mpya jijini Dar es salaam jana 27/2/2013 watakayoizindua March 2 / 2013 katika ukumbi wa bussines park.
Msanii wa bendi ya mapacha watatu Catherine Fidelic ' Cindy' akiimba mbele ya wana habari
Mmoja wa wanamuziki wa kundi la mapacha watatu Kambi Seif akiimba moja ya wimbo wa bendi hiyo.
Picha kwa hisani ya michuzi .
No comments:
Post a Comment