Kichaga huwa tunasema shimbonyi lanye??/ ( habari jamani)
Mambo zenyuuuuuuuuu? Ninatumai kuwa wote ni wazima wa afya mie sijambo kabisa namshukuru Allah kwa nguvu zake I am doing very well…...
Mambo zenyuuuuuuuuu? Ninatumai kuwa wote ni wazima wa afya mie sijambo kabisa namshukuru Allah kwa nguvu zake I am doing very well…...
leo wakati naingia ofisini nikawa natafakari mambo mengi sana miongoni mwayo ni Marafiki…. Hivi umewahi kujiuliza una marafiki wa namna gani?? Sote kama wakina dada au hata vijana tuna wale ambao huwa tunawaita close friends … Wengine sikuhizi utasikia tunaambiana BFF (Best Friend Forever) hivi hii ni kweli huwa inatoka moyoni au tunadanganya kusukuma siku ilihali nyuma ya migongo tukitakiana mabaya.... Mbuta nanga....
Inakuwaje pale Yule unaemjali na kumpa
kipaumbele kama rafiki yako wa karibu anakutosa au kukusaliti na wakati
mwingine anakuwa na wivu au chuki na wewe kwa yale ufanyao ilimradi tu hataki
kuona ukifanikiwa na mwisho wa siku bado unamkubatia na kumwita rafiki wa
ukweli???
Jamani au mie ndio sielewi maana ya rafiki
hebu tuzungumze rafiki yako unamuonaje na unamchukuliaje je unavyomjali na
kumpenda divyo anavyofanya kwao.
That’s it....zungumza na mie Sophia kessy kila
wakati hapa hapa usisite kuacha comment zako tafadhali msicharurane huku
mkatajana majina ha ha ha mie sitakuwemo lol nataka kina dada tujifunze na
tutafakari …..
rafiki yako umtendeayo je ndio akutendeavyo ????? nangoja kusikia kutoka kwako best yangu..
No comments:
Post a Comment