HAIJAWAHI KUTOKEA KILA WAKATI NI SUPRISE WASHIRIKI WA BBA STAR GAME MWAKA HUU NA SASA HIVI OLA NA CRISS WANAPAKI MIZIGO NA KUTOKA.
YADAIWA OLA KUTOKA NIGERIA AMEOMBA KUONDOKA BAADA YA KUPANDA KWA BP YAKE .
BAADA YA HIVYO CRISS NAE AMEOMBA AJITOE NA WOTE WANAONDOKA SASA .
WALIOBAKI NDANI YA JUMBA MAWESHTUSHWA SANA WAMEBAKI WAKILIA TARIFA ZAIDI ZINAKUJA
No comments:
Post a Comment