Baada ya muda mrefu bila kuonana nilimtembelea home kwake da Monica rafiki na mshauri zuri sana kwangu hakika jumapili yangu ilikuwa safi sana baada ya kupata champagne tukajipura na kwenda kucheza na mapacha
hakika nili enjoy sana maana ilikuwa burudani ya kutosha thankx da Monie love you much xo xo!
No comments:
Post a Comment