Mwanamuziki wa miondoko ya kufoka foka kutoka bondeni afrika ya kusini almaarufu kw ajina la AKA sasa anajivunia kuwa baba wa mtoto wakike alie zaa na mpenziwe wa sikunyingi DJ Zinhle, hapo Sandton Medi Clinic.
AKA alipata nafasi ya kuwa katika room ya kujifungulia kina mama na mara baada ya kuzaliwa mwanae huyo alipiga picha na kuiweka katika ukurasa wake wa Instagram akiwa ndani ya magwanda ya chumba cha hospitali hiyo.
No comments:
Post a Comment