Kwa wale wapenzi wa muziki wa dance kijana wenu huyu hapa muite Celeo Scram Celeo Scram na album yake mpya alioipa jina la ici cest Paris.
akizungumza na mie kupitia mtandao w aface book mwnaamuziki huyo ambae pia aliwahi kuwa Atalaku wa kundi la wenge la kwake Werrason hakusita kunielezea nia yake ya kutaka kuja Tanzania kwajaili ya kuangalia ni kwa namna gani anaweza kuuza album yake hiyo mpya kwa hivyo kazi kwenu wasambazaji w amzuiki kijana ndio huyo na kwa maelezo zaidi mnaweza kuwasiliana nami niwape mawasiliano yake.
Celeo aliweza kutikisa sana kwa Rap zake zenye mvuto ndani ya kundi la wenge lakini baada ya muda aliamua kujiengua na kuanzisha bendi yake mwenyewe.

No comments:
Post a Comment