![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjAWuP_wkqXAbff4XS6E-Dqmfi9knjPuV_m0SaWkSVIvLDuNSWITkwBQhAYXjhMvBk-1wKRDCmLzrK_wHse-sihSjsn1u_l1hS30woZsK_msNt6USlADozDb0fq-ueU18X0hnufDreyN1Rg/s400/1265511_226606680829795_2040116024_o.jpg)
baadhi ya wapenzi wa muziki nao wamekuwa wakihoji je ukowapi umakini wa mwanamuziki mkubwa kama huyo na ahadi zake nyingi? kuna ambao pia walisikika kusema kuwa wamechoshwa na ahadi hewa za Bin Adam na kundi lake nikinukuu mmoja wa mashabiki hao akitumia lugha ya kimombo alisema kuwa "In any case it is not serious from an artist of his caliber," mwisho wakunukuu..
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3HZmR3G6h41NwC0OwC2KouW0oWYpDT1F7T9762U8nzvjbNAxNbInVHVlpq5ksGm9UATKlhyphenhyphenuX_Zwsihh_WZTWq0HIbxSXvFLV3ogI4s-6Wil14mhjiNWjF2IaV2z_ZWGL3XNbJ8OkXp9w/s640/1001691_1376069222618426_31161564_n.jpg)
wengine walijishauri kwa kusema kuwa huenda JB Mpiana anaogopa kuibiwa kwa kazi zake lakini hiyo haimanishi asiachie album bali ajaribu kujitolea.
No comments:
Post a Comment