Mmwanamuziki
Karmapa anasemekana kuwa yeye ni kamamwangalizi
wa jamii katika kazi zake, kujadili hali halisi ya maisha, kukemea wakati huo
huo kutoa kasoro ya jamii na kutoa
ushauri ili kufanya mabadiliko kwenye jamii yake.
Akizungumza na
Afriqu'Echos MAGAZINE (AEM): kuhusu
title ya no 4666 4 ambayo inahusu na kwa namna moja au nyingine na Nelson Mandela?
Kwa kuangua
kicheko mwanamuziki huyo alijibu kwa kujiamini kuwa ndio . 4666 4 ni jina la
moja ya nyimbo za albamu yangu; ni wimbo ni wimbo kwa wale waliojitoa sadaka
maisha yao kwa wengine nah ii ni kwa wote kama Nelson Mandela, bila shaka,
lakini pia wakina Thomas Sankara, Kwame
Nkrumah, Patrick Emery Lumumba, Nasser ... Hivyo ni mashujaa hao, mashahidi
wale ambao waliongoza.
wimbo huo unapatikana katika album ya mwanamuziki huyo alioipa jina la 46664.
No comments:
Post a Comment