Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, March 6, 2013

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda avamiwa na kujeruhiwa vibaya.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, akionekana jinsi alivyojeruhiwa. 
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, aliyelazwa katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. 
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absolom Kibanda, aliyelazwa katika Wodi ya Moi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, baada ya kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo wakati akiingia nyumbani kwake maeneo ya Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari tanzania (MOAT) ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPP Ltd, Regnard Mengi.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais akamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimjulia hali
 
 
PICHA NA HABARI KWA HISANI  YA KING KIFF BLOG.