Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, April 30, 2013

ALEIN MPELA BADO ANATIKISA ANGA LA MUZIKI AOMBA SUPORT ZAIDI YA MASHABIKI.


Mwanamuziki Mpela Alain na timu yake hivi karibuni walipiga kambi kuanzia  29 March mpaka 2 April 2013 katika jombo la   Kananga ambapo waliweza kufanya show tatu matata sana .
mgongwe huyo Alain Mpela Afande muimbaji wa zamani mmoja wa wanahisa wa kundi la muziki la  Wenge BCBG ambae kwa sasa pia ni kiongozi wa bendi ya orchestra "Generation A" ameendelea kufanya vizuri huku akiwaomba washabiki wake kuendelea kumpa moyo ili aweze kurejesha taswira yake na kuendelea kufanya vizuri katika taaluma yake.

unaweza ukakumbuka kuwa wakati Alein alipoondoka wenge BCBG , Alain Mpela pamoja na kaka yake Bouro Mpela waliweza kutikisa sana .