Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, November 25, 2014

HARUSI YA KIFAHARI WALIYOFUNGISHWA NYANI NCHINI INDIA IMEGHARIMU DOLA 161,629 ZA MAREKANI







Kesho  katika CLOUDS 360 je wajua tunakusafirisha hadi nchini INDIA na huko tunakukutanisha na tukio la ajabu lililotokea hivi karubi baada ya zaidi ya watu 500 kuhudhuria katika harusi ya kifahari iliyohusisha wanyama wawili jamii ya NYANI.

 Unaweza kushangazwa na taarifa hii kama ndiyo mara yako ya kwanza kuisikia lakini ukweli utabaki kuwa hapohapo kuwa Wanyama hao jamii ya nyani walifungishwa ndoa ya kifahali inayokadiliwa kufikia thamani ya INDIAN RUPEE Milioni 10 sawa na Dola za kimarekani 161,629.






usikose kuifuatilia katika je wajua hapo kesho kwenye 360 ya clouds Tv kama kawaida mie msimuliaji wako sophia kessy

No comments:

Post a Comment