Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, July 9, 2015

MWANAMUZIKI WA MIONDOKO YA KUFOKA KUTOKA AFRIKA KUSINI A.K.A APATA MTOTO WA KIKE NA MPENZI WAKE DJ ZINHLE2Mwanamuziki wa miondoko ya kufoka foka kutoka bondeni afrika ya kusini almaarufu kw ajina la AKA sasa anajivunia kuwa baba wa mtoto wakike alie zaa na mpenziwe wa sikunyingi  DJ Zinhle, hapo Sandton Medi Clinic.

AKA alipata nafasi ya kuwa katika room ya kujifungulia kina mama na mara baada ya kuzaliwa mwanae huyo alipiga picha na kuiweka katika ukurasa wake wa Instagram akiwa ndani ya magwanda ya chumba cha hospitali hiyo.
AKA

1