
akizungumza na mie kupitia mtandao w aface book mwnaamuziki huyo ambae pia aliwahi kuwa Atalaku wa kundi la wenge la kwake Werrason hakusita kunielezea nia yake ya kutaka kuja Tanzania kwajaili ya kuangalia ni kwa namna gani anaweza kuuza album yake hiyo mpya kwa hivyo kazi kwenu wasambazaji w amzuiki kijana ndio huyo na kwa maelezo zaidi mnaweza kuwasiliana nami niwape mawasiliano yake.

No comments:
Post a Comment